Ruvuma: Kampuni ya Australia yathibitisha uwepo wa madini mapya ya nickel na copper sulphide eneo la Liparamba

Shining Light

JF-Expert Member
Jan 8, 2024
214
288
Kampuni ya Resource Mining Corporation Ltd (ASX:RMI) imegundua uwepo wa madini ya nikeli (nickel) na shaba (copper sulphide) katika Mradi wa Nickel wa Liparamba nchini Tanzania, hii ikiwa ni uthibitisho wa kwanza wa uwepo wa madini hayo katika eneo hilo.

Kampuni hiyo ambayo imejikita katika uchimbaji wa madini ya kutengenezea betri ilifanya ugunduzi huo mwezi Septemba 2023.

Kampuni hiyo ya Australia pia itafanya mapitio ya matokeo hayo ili kuamua ni programu zipi za uchunguzi zaidi zitakazofanywa ndani ya maeneo ya miradi ya sasa na kwa eneo kubwa zaidi.

Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni hiyo, Asimwe Kabunga ameeleza kuwa kugunduliwa kwa madini hayo ndani ya Mradi wa Nickel wa Liparamba ni matokeo mazuri na yanaleta fursa ya kusisimua kwa kampuni yao.
=============

Liparamba.jpg

Resource Mining Corporation Ltd (ASX:RMI) has detected the presence of nickel and copper sulphide mineralisation at the Liparamba Nickel Project in Tanzania, the first confirmation of such mineralisation in the large under-explored region.

The battery minerals explorer made the discovery during a maiden diamond drilling program in September last year, when it completed nine holes targeting electromagnetic and geochemical targets.

Anomalous nickel-copper values such as 0.35-0.40% nickel and 0.20-0.23% copper were detected within LPDD009 at 133-135 metres.

The company will review the results to decide what further exploration programs will be undertaken within the current project areas and the greater region.

Nikeli.JPG

Location of the diamond drill holes at Liparamba.
Separately, RMI has also received the results from a soil survey at the Mbinga Nickel Project, which indicated a large geochemical anomaly extending the coincidental geophysical and geochemical anomaly previously defined by BHP/Albidon.

The company believes the potential for Mbinga to also contain nickel-copper mineralisation is high given the success at Liparamba, which is located within a very similar large soil anomaly.

ss.JPG

Soil survey results at Mbinga.
Exciting target zone
“The discovery of nickel-copper sulphide mineralisation within the first drill program ever completed within the Liparamba Nickel Project is a positive outcome and provides a very exciting opportunity for RMC,” executive chairman Asimwe Kabunga said.

“With these results, we are able to apply the knowledge to extend the exploration works at Liparamba, in addition it has also meant the Mbinga Nickel Project, part of the regional exploration area, has located an exciting target zone in what is now known to be a series of mafics that may contain significant economic mineralisation.”

Source: proactiveinvestors.com.au
 
Tumwombe sana Mungu kikazaliwe kizazi chenye akili nyingi baada yetu kuliko hizo rasilimali anazoturundikia kila siku. Ufahamu na maarifa ni bora kuliko dhahabu na vito vya thamani nyingi.
 
Haya makitu huwa sioni impact yake kwa taifa, maana uwepo wake labda usaidie kushuka kwa gharama za maisha, lakini hakuna lolote na maisha yanazidi kuwa machungu kwa mtanzania, ingependeza miradi hii isaidie hata tulipe kodi nafuu katika magari bandarini, sukari iwe chini, petrol ishuke bei, but it's quiet different!
 
Sioni faida ya Gesi na mali zingine zaidi zaidi ya matangazo kama haya baadae umeme ukikatika tunaambiwa kina cha maji ni kifupi kipindi cha masika...
 
Sisi tumelaanika hivi vitu havina maana kwetu.

Haya madini ndio future ya dunia ila kwetu yamegeuka laana mwaka jana tuliuza migodi zaidi ya miwili ya haya madini kwa hela ya maji ya pakiti.
 
Kampuni ya Resource Mining Corporation Ltd (ASX:RMI) imegundua uwepo wa madini ya nikeli (nickel) na shaba (copper sulphide) katika Mradi wa Nickel wa Liparamba nchini Tanzania, hii ikiwa ni uthibitisho wa kwanza wa uwepo wa madini hayo katika eneo hilo.

Kampuni hiyo ambayo imejikita katika uchimbaji wa madini ya kutengenezea betri ilifanya ugunduzi huo mwezi Septemba 2023.

Kampuni hiyo ya Australia pia itafanya mapitio ya matokeo hayo ili kuamua ni programu zipi za uchunguzi zaidi zitakazofanywa ndani ya maeneo ya miradi ya sasa na kwa eneo kubwa zaidi.

Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni hiyo, Asimwe Kabunga ameeleza kuwa kugunduliwa kwa madini hayo ndani ya Mradi wa Nickel wa Liparamba ni matokeo mazuri na yanaleta fursa ya kusisimua kwa kampuni yao.
=============

Resource Mining Corporation Ltd (ASX:RMI) has detected the presence of nickel and copper sulphide mineralisation at the Liparamba Nickel Project in Tanzania, the first confirmation of such mineralisation in the large under-explored region.

The battery minerals explorer made the discovery during a maiden diamond drilling program in September last year, when it completed nine holes targeting electromagnetic and geochemical targets.

Anomalous nickel-copper values such as 0.35-0.40% nickel and 0.20-0.23% copper were detected within LPDD009 at 133-135 metres.

The company will review the results to decide what further exploration programs will be undertaken within the current project areas and the greater region.

View attachment 2874490
Location of the diamond drill holes at Liparamba.
Separately, RMI has also received the results from a soil survey at the Mbinga Nickel Project, which indicated a large geochemical anomaly extending the coincidental geophysical and geochemical anomaly previously defined by BHP/Albidon.

The company believes the potential for Mbinga to also contain nickel-copper mineralisation is high given the success at Liparamba, which is located within a very similar large soil anomaly.

View attachment 2874491
Soil survey results at Mbinga.
Exciting target zone
“The discovery of nickel-copper sulphide mineralisation within the first drill program ever completed within the Liparamba Nickel Project is a positive outcome and provides a very exciting opportunity for RMC,” executive chairman Asimwe Kabunga said.

“With these results, we are able to apply the knowledge to extend the exploration works at Liparamba, in addition it has also meant the Mbinga Nickel Project, part of the regional exploration area, has located an exciting target zone in what is now known to be a series of mafics that may contain significant economic mineralisation.”

Source: proactiveinvestors.com.au
Vyanzo vya stress vinaongezeka😭😭 Resource curse!
 
Haya makitu huwa sioni impact yake kwa taifa, maana uwepo wake labda usaidi kushuka kwa gharama za maisha, lakini hakuna lolote na maisha yanazidi kuwa machungu kwa mtanzania, ingependeza miradi hii isaidie hata tulipe kodi nafuu katika magari bandarini, sukari iwe chini, petrol ishuke bei, but it's quiet different!
Mkuu nakuhakikishia hata mkataba wa uchimbaji unaweza usiuone na mambo yakawa kama hakuna kitu vile, bongo ngumu sana
 
Kampuni ya Resource Mining Corporation Ltd (ASX:RMI) imegundua uwepo wa madini ya nikeli (nickel) na shaba (copper sulphide) katika Mradi wa Nickel wa Liparamba nchini Tanzania, hii ikiwa ni uthibitisho wa kwanza wa uwepo wa madini hayo katika eneo hilo.

Kampuni hiyo ambayo imejikita katika uchimbaji wa madini ya kutengenezea betri ilifanya ugunduzi huo mwezi Septemba 2023.

Kampuni hiyo ya Australia pia itafanya mapitio ya matokeo hayo ili kuamua ni programu zipi za uchunguzi zaidi zitakazofanywa ndani ya maeneo ya miradi ya sasa na kwa eneo kubwa zaidi.

Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni hiyo, Asimwe Kabunga ameeleza kuwa kugunduliwa kwa madini hayo ndani ya Mradi wa Nickel wa Liparamba ni matokeo mazuri na yanaleta fursa ya kusisimua kwa kampuni yao.
=============

Resource Mining Corporation Ltd (ASX:RMI) has detected the presence of nickel and copper sulphide mineralisation at the Liparamba Nickel Project in Tanzania, the first confirmation of such mineralisation in the large under-explored region.

The battery minerals explorer made the discovery during a maiden diamond drilling program in September last year, when it completed nine holes targeting electromagnetic and geochemical targets.

Anomalous nickel-copper values such as 0.35-0.40% nickel and 0.20-0.23% copper were detected within LPDD009 at 133-135 metres.

The company will review the results to decide what further exploration programs will be undertaken within the current project areas and the greater region.

View attachment 2874490
Location of the diamond drill holes at Liparamba.
Separately, RMI has also received the results from a soil survey at the Mbinga Nickel Project, which indicated a large geochemical anomaly extending the coincidental geophysical and geochemical anomaly previously defined by BHP/Albidon.

The company believes the potential for Mbinga to also contain nickel-copper mineralisation is high given the success at Liparamba, which is located within a very similar large soil anomaly.

View attachment 2874491
Soil survey results at Mbinga.
Exciting target zone
“The discovery of nickel-copper sulphide mineralisation within the first drill program ever completed within the Liparamba Nickel Project is a positive outcome and provides a very exciting opportunity for RMC,” executive chairman Asimwe Kabunga said.

“With these results, we are able to apply the knowledge to extend the exploration works at Liparamba, in addition it has also meant the Mbinga Nickel Project, part of the regional exploration area, has located an exciting target zone in what is now known to be a series of mafics that may contain significant economic mineralisation.”

Source: proactiveinvestors.com.au
Tanzania Ina Mali sehemu nyingi sana.

Mbozi na Mpanda pia Madini ya shaba yamegunduliwa
 
Back
Top Bottom