Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

huu ndio muda utulivu na kupanga mambo yako.............karibu tukuhudumie
 
ndugu mteja andaa maswali yako kesho nitaendelea kujibu maswali yote kwa watu wotew waakao uliza . karibu saana usiogope
 
wasalaam wanajamvi, tunaendelea kutoa huduma zetu za uchimbaji visima kwa gharama nafuu. pia tunafanya utafiti wa maji kabla ya kuchimb, tunasafisha visima na kufanya matengenezo mbalimbali yahusuyo visima. karibu............mawasiliano 682 276767/ whatsapp 0752925925
 
Dah ndege JOHN mbona umeuliza swali la namna hii wakati wewe ni mtalaamu wa maji? Hakuna sheria inayozuia makampuni binafsi yasifanye geophysical survey ili mradi iwe kampuni iliyosajiliwa kisheria na pia awe na kibali toka wizarani. Kuhusu kufanya Vertical Electrical Sounding, huwa inategemea na topography ya eneo husika ambayo ndiyo itamfanya mtu afanye selection either apige V.E.S au apige kwanza electro magnetic/ magnetic survey ili ku determine anomaly kisha umalizie na V.E.S
 
asante kwa majibu mazuri. kunywa soda nitalipia
 
sasa ni masika ni wasaa mzuri wa kuandaa mradi wa uchimbaji kisima kwa matumizi mbalimbali ikiwemo kilimo, ufugaji, matumizi ya nyumbani pamoja na biashara
 
mwanzo wa Juma ni mwanzo wa mipango, karibu katika huduma zetu bora za uchimbaji wa visima. Tunafika mikoa yote ya Tanzania bara
 
Wananzengo habari zenu. Bado tunawakaribisha katika huduma zetu . Huduma zetu ni za uhakika.
 
Sii ni fursa kwa wawekezaji wa kilimo na ufugaji. Tutumie vizuri. Karibu saana
 
Mwisho wamwezi january ni mida mzuri wa kuendelea kujiandaa na yale amabyo yatakusaidia kujipatia maji ya uhakika. Karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…