Tunatoa huduma za kukusanya madeni

Tunatoa huduma za kukusanya madeni

Kampuni ya uhakika ya kukusanya madeni.

[emoji830]︎Madeni ya kawaida
[emoji830]︎ Madeni Sugu
[emoji830]︎ Madeni ya kimahusiano
[emoji830]︎ madeni ya kirafiki
[emoji830]︎ Utapeli

Nyakisasa Empire kwa huduma bora
IMG-20221002-WA0016.jpg
 
Mpenzi wangu ananikopa sana sasa nifanyaje na halipi kabisa
 
Mnaweza kudai hela ambayo mtu amekopeshwa bila maandishi na amekana deni?
 
Na maanisha tunalipanaje mimi na.nyie
2.nawaonyesha tu mdeni mnaaza kazi au kuna taratibu
3. Akigoma kbsa kulipa eitha kwa kutaka ama kutotaka mtachukua hatua gani
4.mpo tanzania nzima au dar tu
Utaratibu wetu tunakupa kwanza assesment form unajaza kisha unaturudishia. Tukishajiridhisha tunakueleza kama tutafanya au la
 
Maswali ya msingi sana haya maana mkimfuata kienyeji mdaiwa sugu anaweza kuwageukia na kusema mlivamia mkamsababishia upotevu wa assets zake zenye thamani ya milioni 10 na baadae deni linageuka linarudi kwenu.
Tukishakubaliana baada ya kusainiana mikataba, umejaza assesment form. Utatoa barua ya utambulisho ambayo tunaambatanisha ni demant notice, nakala zinaenda ofisi ya kata na mtaa kwa taarifa.

Kwa hiyo tunaenda hatua kwa hatua hatutoi nafasi ya kusingiziana.

Kama hujaridhika na majibu nitakuwa tayari kufafanua zaidi
 
Mnafanya Arusha tu?
 
Na maanisha tunalipanaje mimi na.nyie
2.nawaonyesha tu mdeni mnaaza kazi au kuna taratibu
3. Akigoma kbsa kulipa eitha kwa kutaka ama kutotaka mtachukua hatua gani
4.mpo tanzania nzima au dar tu
Malipo yetu yanaendana na kiwango cha deni.

Gharama zetu nimekuwekea hapo chini.

Hakuna anayeweza kugoma kulipa deni halali.Akijitahidi ataleta usumbufu ambao tutakabiliana nao mpaka alipe
Screenshot_20220922-171126_Adobe%20Acrobat.jpg
 
Kuna demu kanilia vyangu na papuchii hakunipa, Sasa nahitaji arudishe gharama zangu zote. Naomba utaratibu ili muanze na Deni hili
 
Back
Top Bottom