Habari mkuuView attachment 1019465
Asante NICE kwa kutuamini. Bidhaa yako ni bora sana, nasi tumekufanyia LABEL bora zaidi.
Kwa kwenye mahitaji ya Graphics design na printing usisite kuwasiliana nasi kwa namba 0762 182398. Tunapatikana Kariakoo, Dar es Salaam.
-Business cards
-Posters
-Book covers
-Receipt books
-ID cards
-n.k n.k
Nataka kuprinti mabango ya kudai tume huru ya uchaguzi mtanifanyia bei gani
na Roll up banners zinaendaje bro?Bei unapewa baada ya kujua size ya eneo linalotakiwa, aina ya material(mfano sticker ambazo ukiwa ndani mchana unakuwa na uwezo wa kuona ndani, usiku ndani kukiwa na taa mtu wa nje anaona wa ndani huoni nje AU sticker ambazo ukiwa ndani huoni nje muda wote AU transparent sticker)
Karibu sana ofisini tukuhudumie.
Rollup banner ni 250,000/= complete lenye kitako kikubwa.na Roll up banners zinaendaje bro?
Wow. Asante bro, nitabeba namba nikucheki.Rollup banner ni 250,000/= complete lenye kitako kikubwa.
Karibu sanaWow. Asante bro, nitabeba namba nikucheki.