- Thread starter
- #41
Ndugu yangu kama hutojari naomba unieleweshe nilikuwa nataka kujua hivi vitambulisho vya pvc naweza kutengeneza kwa printa hizi za epson+pvc card...? (samahani kwa usumbufu kaka)
Inategemea na aina ya Epson uliyo nayo, zipo zinazoweza kuprint kwenye pvc moja kwa moja kama sijakosea. (Hapa namaanisha Epson printers hizi za kawaida ukiacha zile special za ID cards tu)
Soma functions za printer yako uone kama ina uwezo huo au angalia kama ina sehemu muhimu ya kuweka hicho kikadi cha pvc