Tunatoa huduma ya Printing

Tunatoa huduma ya Printing

Kwa kwenye mahitaji ya Graphics design na printing usisite kuwasiliana nasi kwa namba 0762 182398. Tunapatikana Kariakoo, Dar es Salaam.

-Business cards
-Posters
-Book covers
-Receipt books
-ID cards
-n.k n.k
 
Tunatoa huduma za Digital Printing kwa vitu mbalimbali kama

~Vipeperushi
~business cards
~labels
~ID cards, kadi za harusi
~na documents mbalimbali.

Quality ya kazi ni nzuri, utahudumiwa vizuri kwa bei nafuu kutegemeana na idadi ya pages unazoprint.

Tunapatikana Kariakoo makutano ya mtaa wa Ndanda na Magila.

Kwa walioko mikoani unaweza kutuma kazi yako kisha tukaprint na kukutumia kwa njia ya basi. (Hapa vigezo na masharti kuzingatiwa)

Kwa mawasiliano zaidi nakukaribisha PM au unaweza tumia simu 0762182398.

Karibu.
 
Back
Top Bottom