Na picha kama hizi ila kwa vioo vya saluni mnafanya kwa bei gani!View attachment 912406
KARIBUNI SANA WATEJA WETU.
Labels za bidhaa (stickers) ---- ** Tsh. 500/=** kwa A4 sticker
Business cards
Vitambulisho (ID Cards)
Posters A4/A3 za matangazo
Vipeperushi
Brochures A4/A3
N.k
Quality ya printing ni nzuri sana na huduma zetu kwa wateja utafurahia.
Tunapatikana Kariakoo mtaa wa Ndanda/Magila. Contacts 0762182398
Tunahitaji kujua kutoka kwako size ya sehemu unayoweka ikoje. Yaani tuje sisi kupima au unaweza kupima wewe ukaja na vipimo ndipo tunafanya hesabu ya gharama na kazi kuendelea.Na picha kama hizi ila kwa vioo vya saluni mnafanya kwa bei gani!
Asante kwa kuhitaji huduma zetu mwana JF kama ambavyo tumeshawahudumia wana JF wengine.Nahitaji sticker ya Salon ur 100cm na upana 93cm kiasi gani cha pesa mkuu
Karibuni sana Wajasiliamali, kampuni, shule, wasanii etc mjipatie huduma bora kwa bei nzuri
Asante kwa kuhitaji huduma zetu mwana JF kama ambavyo tumeshawahudumia wana JF wengine.
Gharama nimekutumia PM na maelezo ya ziada.
Karibu sana.
Gharama ya printing kwa A4 ni Tsh 500 kwa karatasi za art paper(zile zinazong'aa), posters zinaweza kuwa A4 au mara nyingi A3. Ukija ofisini au ukinipa kazi nitakupa OFA free ya designing maadamu unaprint kwangu, wewe utaniletea picha zenye kiwango kizuri tu na maneno unayotaka yaandikwe. Kuhusu discounts karibu ofisini au wasiliana nasi kwa 0762182398.Mkuu nataka vipeperushi 100 na posters utanifanyia shingap? But nataka uniwekee maneno na picha za wanafunz
Kulingana na alichouliza si rahisi kumpa bei moja kwa moja, inahitaji atoe details kadhaa kuhusu kitu anachotaka na ni wapi anakwenda kukiweka n.kUnaficha gharama kwa nini mkuu? Weka wazi tujue
Zile material zinauzwa zikiwa vilevile zilizokatwa kama ndiyo hizo unaulizia na zinapatikana kwa Tsh.500/=..Boss mimi nilikuwa nnashida na material ya kitamburisho vile vitambulisho kama kadi ya mpiga kura...
Ndugu yangu kama hutojari naomba unieleweshe nilikuwa nataka kujua hivi vitambulisho vya pvc naweza kutengeneza kwa printa hizi za epson+pvc card...? (samahani kwa usumbufu kaka)Zile material zinauzwa zikiwa vilevile zilizokatwa kama ndiyo hizo unaulizia na zinapatikana kwa Tsh.500/=..
Hata hivyo wengine huchanganya na aina fulani ya sheets za vitambulisho ambazo huuzwa kwa set na huwa katika size ya A4, baada ya kuprint ndiyo unavikata vitambulisho, navyo huwa ni vigumu vilevile.