Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,563
Ni sahihi.Hapana,ila mkuu katika maisha jitahidi sana kutafuta hekima na maarifa hivyo vinaweza kukusaidia katika nyanja mbalimbali maishani.
Ni sahihi.Hapana,ila mkuu katika maisha jitahidi sana kutafuta hekima na maarifa hivyo vinaweza kukusaidia katika nyanja mbalimbali maishani.
Utasikia kuna jamaa angu anafanyaKila mtu duniani anaweza kueleza kwa ufasaha kabisa namna ya kutoboa lkn shida ipo kwenye utoboaji wenyewe.
Kubadili fursa kuwa kipato inaweza kuwa ngumu,tatizo watu wengi hukata tamaa na ni waoga wa kutake risks.Kila mtu duniani anaweza kueleza kwa ufasaha kabisa namna ya kutoboa lkn shida ipo kwenye utoboaji wenyewe.