Wakamwua na kitu kizito kinachodhaniwa kuwa na ncha kali kichwani kwenye mtaro ikawa the end of his dream
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakamwua na kitu kizito kinachodhaniwa kuwa na ncha kali kichwani kwenye mtaro ikawa the end of his dream
Hyo ndyo changamoto ya kufanyia kazi, ila ukweli ni kuwa possibility ipo kbsa ingawa kwa hiki kizazi chetu naona km tushachelewa labda kizazi kijachoSipingani na hoja yako mkuu, swali langu ni je, hiyo strong leadership tunayo?
- KANA -
Tukishakuwa na umoja to get rid na watu km museveni itakuwa virahisi sana, kwa mfano now africa magharibi viongozi wanga'ang'anizi wanashuhulikiwa na jeshi la ecowas sasa iv hakuna tena upuuzi wa kunga'ang'ania madarakani .....katika bara la Afrika watu kama Malema uwa wanakuwa wazuri wakiwa wanaharakati lakini wakishakamata madaraka wanageuka kuwa watu hatari sana hadi watu wanaanza kutamani bora wangebaki na utawala ulioondolewa.
Malema anafaa kuwa mwanaharakati tu siyo kiongozi wa nchi akiwa raisi watu watalia sana sana.
United states of Africa ni ngumu kuwa nayo kwa jinsi waafrika walivyo na tamaa ya mali na madaraka watu hawataki kungátuka wanabadiri katiba kila mara wasalie madarakani, wako tayari watu wafe ila wao wabaki madarakani na viongozi hawakemeani.
Ona Museveni, Kabila, raisi wa Cameroon, n.k hawataki kuondoka madarakani.
Bado viongozi mafisadi kwanza tupambane na haya kabla ya kuwaza kuungana
Nitajia viongozi watatu walioshughulikiwa, na ecowas, utasema Yahya yule kwanza alikuwa kufikia pale ashaishiwa alikuwa ashazidiwa nguvu na kanchi kenyewe hata jeshi lilikuwa dogo sana.Tukishakuwa na umoja to get rid na watu km museveni itakuwa virahisi sana, kwa mfano now africa magharibi viongozi wanga'ang'anizi wanashuhulikiwa na jeshi la ecowas sasa iv hakuna tena upuuzi wa kunga'ang'ania madarakani .....
Changamoto zote ulizobainisha tunaweza zitatus km tutakuwa na umoja na dhamira ya dhati kulikomboa bara letu
Sent using Jamii Forums mobile app
Bagbo wa ivory coast yule aliyechapwa makofi na wanajeshi hoteliniNitajia viongozi watatu walioshughulikiwa, na ecowas, utasema Yahya yule kwanza alikuwa kufikia pale ashaishiwa alikuwa ashazidiwa nguvu na kanchi kenyewe hata jeshi lilikuwa dogo sana.
bado sana sisi wanafiki kuungana si mchezo
Nafikiri haijuwa rahisi pia kuiunganisha marekani,, mwanzo ni mgumu, ila tukitia nia inawezekana,,Zanzibar wanakesi mahakamani wanataka kuvunja muungano.
Burundi wanawatuhumu Rwanda kupanga mapinduzi na kuvuruga amani nchini kwao.
Sudan na South Sudan hawataki hata kusogeleana ndio maana wametengana.
A united Africa is a good move, ila mimi binafsi naunga mkono mawazo ya Mwalimu Nyerere. Tuungane kwanza kwa regional blocks kabla ya kufikiria a united Africa.
Tutaweza vipi kuiunganisha Afrika nzima kama Afrika mashariki pekee imetushinda kuiunganisha?
Tutaiunganisha vipi Afrika wakati hata majirani kama Rwanda na Burundi wanatamani kushikishana adabu?
Labda niwakumbushe tu, a United Africa means a bigger country and eventually bigger problems!
Kama Museveni anapindisha sheria na kuminya demokrasia ili abaki kuwa raisi wa nchi ndogo tu kama Uganda, vipi akiwa rais wa Afrika?
Vita ya kugombea madaraka itatuangusha kabla hata hatujasimama!
Tunaweza kuipata United Africa kama tutaweza kutengeneza muungano imara wa Africa mashariki, muungano madhubuti wa Afrika ya kati na maeneo mengine!
Hebu tutambae kwanza kabla ya kutembea. Kama tukizifuata hatua kwa usahihi, basi tunaweza kupaa. Ila, TUTAMBAE KWANZA!
- KANA -
Kazi ya kuiunganisha narekani ilikua rahisi sana ukilinganisha na kazi ya kuiunganisha Afrika!Nafikiri haijuwa rahisi pia kuiunganisha marekani,, mwanzo ni mgumu, ila tukitia nia inawezekana,,
Sent using Jamii Forums mobile app