Tunataka Ndugai ajiuzulu

Ndiyo hivyo

Kama unabisha ipigwe kura ya wazi humu JF kujua ni nani anastahili kujiuzulu kati ya Spika Ndugai na CAG uone matokeo yake
Naomba Modes waweke utaratibu wa kura ya maoni yanayowataka Wabunge wa Chama kilicho madarakani wamwondoe Ndugai kwenye Uspika. Ndugai amekuwa Ni kansa ya nchi!!! Ndogaye must go!!!
 
aisee huyu subwoofer ndio anatakiwa kujiudhulu, eti cag anamtatiza rais kufanya kazi, kivipi!?
 
Ndugai ana support serikali ya Magufuli...its okay its your choice Ndugai..its your right...but elewa Madaraka yana kikomo..
 
Ndugai anapata tabu ya kuisimamia sirikali baada ya kuambiwa ni mhimili uliochimbiwa chini zaidi
 
Hata mimi naunga mkono hoja,Ndugai ndie kiongozi dhaifu wa bunge kuwahi kutokea,badala ya kuisimamia serikali yeye alitumia muda mwingi kuitetea serikali kwa kudai kuwa alichofanya CAG ni kutia hoja na kama kawaida serikali itazijibu.

Sasa hapo inaonesha Ndugai hapendezwi serikali ikisemwa vibaya na taasisi yoyote hata kama itakuwa imekosea.

Ndugai ni mvadhulifu ndio maana haguswi na upotevu wa fedha uliosemwa na CAG .

Hata hivyo Rais Magufuli amejipambanua kama mchukia rushwa,bila shaka wote waliotajwa tunategemea wachukuliwe hatua.

Ndugai kwa sasa hana msaada wowote kwa taifa,ndugai ni Liability

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hakufunguliwa kesi kumtandika mgombea mwanzake wakati ule?
Sasa tunavuna tulichopanda
 
Hivi hakufunguliwa kesi kumtandika mgombea mwanzake wakati ule?
Sasa tunavuna tulichopanda
"waliyamaliza" kichama. Lakini alipaswa kuswekwa ndani. Lile zee lisilo na vidole lina matatizo sana.
 
Hivi hakuna wa kufanyia maneuver Jiwe na ****** tukaweka nusu mlingoti bendera yetu ya taifa. Kitambo sana haijawekwa nusu mlingoti.

mng'oa kucha uko wapi tukupe kazi. Hii ni maslahi ya taifa.
 
Kwanini tusiwe serious kidogo,hii kampeni isambae mitandao yote na mitaa yote........****** hawezi kumaliza huu mwezi tukiwa serious..lazima tumkute mitaro ya Makongo.
 
Watanzania wote tumlinde CAG Professor Assad,yasije mkuta Kama Mh.Lissu,Ben,Azory,Mo& wengine.
Hali Ni mbaya kuliko tunavyofikiri.
 
sasa naona safari ya Ndugai kuondoka kwenye kiti inaanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…