Tunataka Ndugai ajiuzulu

Tunataka Ndugai ajiuzulu

Ndugai huwa harudi nyuma,na sio mjinga kama watu wanavyofikili.Yeye ameisha fanya yake ya kuibeba serikali karibu mara zote.
Sasa nae anataka favour kutoka serikali ya Magu imsaidie kumuondoa huyo CAG matata.
Serikali inaposita ndio pale Speaker Ndugai anapandisha hadi nje ya Bunge,kuwakumbusha ni zamu ya Magu nae kumsaidia.
Vinginevyo patachimbika.
Mkuu umeona mbali sana, hii mihimili miwili inasaidiana ktk maswala yao ya ushetani
 
Habari wanabodi

Kila mtu anafahamu hali ya kisiasa iliyopo nchini kwa sasa. Kumekuwa na kauli za shutuma nyingi na vitisho kwa Spika wa Bunge la JMT dhidi ya mkaguzi n mdhibiti wa hesabu za serikali.

Ndugai anaongea hadharani kwamba alitarajia Prof Assad ajiuzulu baada ya vitisho vyake vya kumkamata na pingu. Watanzania wote hatuoni kosa la Prof Assad, ni kweli bunge ni dhaifu na Ndugai mwenyewe dhaifu na kama sio dhaifu basi ni kibaraka wa jiwe.

Kuna kauli yake moja Ndugai anasema Prof Assad anampa "wakati mgumu" mheshimiwa Rais....swali, CAG anampaje wakati mgumu Rais?
Rais anashindwa kufanya kazi zake? Au akiibua madudu wanavulika nguo wateule wake na hivyo naye anatapa aibu? Maana zile samosa na chapati za bil 1 si mchezo. Na mkulu kakaa kimya as if hakijatokea kitu. Si anasemaga mtu umemkamata red handed uchunguzi wa nini? Weka ndani. Mbona jamaa wamekula samosa za bil 1 na mnawaacha tu?

Ushauri wangu tuweke shinikizo Ndugai ajiuzulu. Na hili likifanikiwa itampa picha halisi jiwe kuwa hata yeye mwenyewe sisi "wenye nchi" tukiamua aondoke pale nyumba nyeupe ataondoka. Na wale wanaotumika kulinda maslahi yake. Policcm, tawi jipya la ccm jw na tisi. Maana hawa wameacha uzalendo walioapa wa kuilinda katiba sasa hivi wana agenda moja ya kulinda chama.

Nina hasira sana na upumbavu wa chama chao.
Naunga mkono hoja, ni lazima Spika Ndugai ajiuzulu, kwa hiyari au kwa lazima
 
Mkuu umeona mbali sana, hii mihimili miwili inasaidiana ktk maswala yao ya ushetani
Hapa ni Mambo ya Don Coleone katika The Godfather kichoandikwa na Mario Puzzo, akimuomba mtu mmoja alieomba na kupewa favour miaka ya nyuma amzikie mwanae usiku wa manane.Maanake ukila vya watu nawe lazima uliwe.
Kama mihimili hiyo ingeweza kujua kuwa haiko pale kusaidiana bali kufa kazi kama katiba ilivyo wala haya malumbano yanayoendelea yasingekuwepo.
 
Ni jambo ka kushangaza sana kwa mtu kama Ndugai ameng'ang'ania wadhifa huo wa uspika,mzee kaa pembeni muda wako wa kukandamiza haki za watanzania umekwisha.Nenda baba nenda,huhitajiki kabisa pamoja na kutumika kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naunga mkono hoja aondolewe, ameliabisha bunge na amewafedhehesha Watanzania
 
Back
Top Bottom