Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anaweza kuwa Upande wa ndungaiYule Spika ni zezeta.
Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anaweza kuwa Upande wa ndungaiYule Spika ni zezeta.
NIMEKUMISSS BIBI.. vipi nawewe utakuwepo kwenye kikao hiki 😛 usinisahau posho kiduchuWewe kibabu 🤡niache mimi.. 😁
Ndiyo hivyo
NIMEKUMISSS BIBI.. vipi nawewe utakuwepo kwenye kikao hiki 😛 usinisahau posho kiduchu
https://www.jamiiforums.com/threads...bunge-wa-ccm-leo-jijini-dodoma.1573129/page-2
Uwingi unaupima kwa research ipi?,ya threads za mitandaoni?,wa kuanzisha threads mfululizo za mlengo wenu?,kituko!Kumekuwa na malumbano makali nchini yanayoendelea kwenye vyombo mbalimbali vya habari, hususani mitandao ya kijamii kuhusiana na issue ya Bunge VS CAG
Walio wengi wakiwa upande wa CAG na watu wachache sana wakimuunga mkono Spika Ndugai na Bunge lake, ambalo wabunge wake wengi ni wa CCM
Nami nimekuwa nafuatilia kwa Katibu malumbano hayo, ambayo kwa mujibu wa Spika Ndugai na Bunge lake walishapitisha azimio la kutofanya naye kazi, Profesa Assad na ofisi yake ya CAG
Madai makubwa ya Bunge la Spika Ndugai kutoa azimio lao dhidi ya Profesa Assad ni madai yao kuwa eti analidharau Bunge lao kwa kuliiita dhaifu
Cha kushangaza hata hivyo ni kuwa taarifa za mkaguzi huyo wa serikali, Profesa Assad tayari zishatinga Bungeni na zimeanza kujadiliwa
Ambacho watu wengi tumekiwa tukijiiuliza, je azimio la kutofanya kazi na CAG limeishia wapi??
Nikumbushe kidogo msingi ya utawala bora kuwa kuna Power separation baima ya mihimili 3 mikuu katika nchi, ambayo ni Bunge, Mahakama na Serikali, katika kufanya kazi katika kitu kinachoitwa check and valance
Kwa ninavoona Mimi huu mgogoro uliopo baina ya Spika Ndugai VS CAG, siyo kweli IPO hivyo, bali ninavyoona Mimi mgogoro huu upo baina ya Serikali VS CAG
Huyu Spika Ndugai anatumbikizwa tu hapo kutokana na "remote control" iliyopo pale Magigoni, ambayo inamuekekeza afanye nini
Kama nilivyosema ni kuwa mgogoro huu ni wa Jiwe VS CAG, kutokana na CAG ambaye ni mwakikishi wa Umma wa wananchi wa nchi hii kufanya kazi yake kwa weledi wa hali ya juu na kuonyesha mapungifu makubwa "audit queries" ya serikali hii, ambayo sasa yanatakiwa yajadiliwe Bungeni
Kwa jinsi ninavyoifahamu serikali hii ya awamu ya 5 inavyofanya kazi, haitaki hata kidogo kukosolewa na kuelezwa kuwa kuna mambo hawayafanyi vyema na ndicho kisa chote cha kuinunua ugomvi wote huu na kuigeuza kuwa ni wa Spika Ndugai VS CAG
Imebidi hali ifikie hivyo kutokana na "process" za kumuondoa CAG, kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1077, ibara ya/143, kwenye kitu chake kuwa almost to next to impossible!
Ndiyo maana nikasema ni rahisi mno kumng'oa Spika Ndugai kwenye kiti chake cha Spika, lakini ni vigumu mno mithili ya ngamia kupenya kwenye Tundu la sindano, kumng'oa CAG kwa mujibu wa Katiba ya nchi yetu
Mungu ibariki Tanzania
Ndugai huwa harudi nyuma,na sio mjinga kama watu wanavyofikili.Yeye ameisha fanya yake ya kuibeba serikali karibu mara zote.Ndugai ajitathmini
Kumbe anatumiwa tu kutoa sauti?siyo yeye jamani mbona mnakua na vichwa vigumu jamani??
Mwenye kichwa kigumu ni Ndugai, hajielewi kuwa yeye si msemaji wa ajira yoyote mhimili mwingine wa dola serikali.siyo yeye jamani mbona mnakua na vichwa vigumu jamani??
Ndugai bora angejiuzulu naona kazi immemshinda ajishauri yeye kujiuzulu sio amshauri cag ambae anafanya kazi zake kiiueledi na sisi wananchi tunamkubali.Spika Ndugai kwa sasa anaelekea ana personal vandetta na CAG, prof Assad.
Statement ya kwanza ya Nd Ndugai baada ya kusikia neno dhaifu. ni kuliambia Taifa kuwa CAG ataletwa Dodoma kwa pingu ikibidi!
Statement ya ajabu kutoka mhimili mmoja wa dola.
Ikitokea Mkuu wa Majeshi au Polisi, au Magereza ,akacomment juu ya mapungufu ya Bunge, Spika Ndugai atafanya vivyo?
Mbaya zaidi Ndugai anasema atafanya kazi na ofisi ya CAG na si CAG, as a person!
DOES IT MAKE SENSE?
Sasa jana Ndugai kazidi kujikoroga, ati CAG anampa shida Rais, na inabidi ajiuzulu kazi!
Are we not fed up na hii kitu?
Personal vandetta inaanza kiathiri misimamo ya bunge.
Ndugai amekuwa msemaji wa nia ya Rais?
Tangu lini mhimili wa Bunge ukaingilia ajira ya CAG, aliye muajiriwa katika nafasi nyeti katika mhimili wa serikali!
Au nini kinamzuia Rais kulisema na kulitolea msimamo juu ya suala la udhaifu ambao sasa increasingly unaonekana ni wa Ndugai mwenyewe!
Inapaswa Spika Ndugai aeleweshwe kuwa wananchi wengi wanakubaliana na CAG dhidi ya maamuzi yasiyo na tija kutoka huko Bungeni Dodoma.
Vita ya ufisadi inaelekea inapigwa vita kwa kumtumia Spika Ndugai.