AJIUZULU siyo kujitathimini. hili lispika limeingiliwa na panya,mende,kunguni,viroboto na chawa
Tunapochangia mada tusifanye "personal attack" - tujenge hoja na kutumia maeneo yenye staha kama aliyotumia CAG
Tumfundishe ndugai kwanza kujenga hojaTunapochangia mada tusifanye "personal attack" - tujenge hoja na kutumia maeneo yenye staha kama aliyotumia CAG
You do not teach new tricks to an old dog!Tumfundishe ndugai kwanza kujenga hoja
Ndugai, Kabudi na Makonda.... !Naunga mkono hoja
Unataka na nani??Habari wanabodi
Kila mtu anafahamu hali ya kisiasa iliyopo nchini kwa sasa. Kumekuwa na kauli za shutuma nyingi na vitisho kwa Spika wa Bunge la JMT dhidi ya mkaguzi n mdhibiti wa hesabu za serikali.
Ndugai anaongea hadharani kwamba alitarajia Prof Assad ajiuzulu baada ya vitisho vyake vya kumkamata na pingu. Watanzania wote hatuoni kosa la Prof Assad, ni kweli bunge ni dhaifu na Ndugai mwenyewe dhaifu na kama sio dhaifu basi ni kibaraka wa jiwe.
Kuna kauli yake moja Ndugai anasema Prof Assad anampa "wakati mgumu" mheshimiwa Rais....swali, CAG anampaje wakati mgumu Rais?
Rais anashindwa kufanya kazi zake? Au akiibua madudu wanavulika nguo wateule wake na hivyo naye anatapa aibu? Maana zile samosa na chapati za bil 1 si mchezo. Na mkulu kakaa kimya as if hakijatokea kitu. Si anasemaga mtu umemkamata red handed uchunguzi wa nini? Weka ndani. Mbona jamaa wamekula samosa za bil 1 na mnawaacha tu?
Ushauri wangu tuweke shinikizo Ndugai ajiuzulu. Na hili likifanikiwa itampa picha halisi jiwe kuwa hata yeye mwenyewe sisi "wenye nchi" tukiamua aondoke pale nyumba nyeupe ataondoka. Na wale wanaotumika kulinda maslahi yake. Policcm, tawi jipya la ccm jw na tisi. Maana hawa wameacha uzalendo walioapa wa kuilinda katiba sasa hivi wana agenda moja ya kulinda chama.
Nina hasira sana na upumbavu wa chama chao.
Ondoka wewe kwanza!Ndugai aondoke
Gonjwa huyo bwanako,apumzikeOndoka wewe kwanza!
Hata sijakuelewa mkuu!Gonjwa huyo bwanako,apumzike
Siku moja moja unakuwa na mawazo ya Kitamzania japo mara zote unakuwa na mawazo ya chama Kwanza. Hongera kwa siku hii kuwa na mawazo ya TanzaniaKwani wakitaka aondolewe madarakani ni kwamba kutakuwa hakuna CAG mwingine? Na je CAG kwanini wamshambulie na sasa ripoti ipo wazi.. kwani ripoti hiyo na mtu akitaka hayo si ndio wananchi watajua kuna yanayofichwa!!. mwisho wa siku unayodai si bora wamuache aendelee na 2020 inakuja.. sioni maana hata ingekuwa kweli. Sasa mtu akiona ya Spika na matibabu na kujitetea jana alionyesha hakupenda yake kuwa nje ila kama kiongozi na wengine ni vizuri wakakaa kimya na kuendelea kutenda majukumu yao.. wananchi wangeyasahau. Ni kweli kwa wengi wana imani na awamu hii kwa jinsi Mkulu alivyo.. hii haipendezi kuona ambayo hata wananchi hawayafatiii wanayaibua wao wenyewe. Upinzani wa awamu hii wao wanajulikana kwa kusaka utawala unapokosea na kupaza sauti.. wameishiwa nondo.. drama hii Spika angekaa kimya tangu mwanzo na kuachana na neno dhaifu.. wengi tusingefatilia hata ripoti na kuwaacha wao watende yaliyoshauriwa ya miaka ya nyuma yakiibuka sawa tu.. wasingetaka wangetimiza kufanyia kazi mapendekezo.
Watendaji na washauri.. kuna drama ambazo inaonyesha kuna walio na maslahi binafsi.. hawajui kusoma wananchi na kuishia kuboronga na kuchukiza watu.