Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,557
Mhe Chalamila kiboko ya migomo
Migomo inasaidia sana tofauti na wangekaa kimya lakini kama hali hii ya kamata kamata itaendelea kila mfanyabiashara atashika njia yakeWaliogoma wamepata faida gani?