CC: Heaven on earth !!!!!!af Kaizer mekumiss ujue!
Duh! mkuu ukikutana na kitalolo kichachu... ni balaa..hadi menu yanakufa ganzi...
Kuna kitu ukikitazama vyema utakiona kwenye majibu yako
Ni kitu chema tu cha kujifunza!
No!
Haiwezekani asilani!!!!!
A'm waiting ...!!!!!
Huzioni??????
Mambo ya wavulana na vibint hayo....!!!!
Hebu uje tu test one time ili na mimi nijue hiyo makitu aisee!!!!
Hebu njoo kule bana.........
Haiwezekani kuwe na jambo lingine limesababisha?
Dah!
Mkuu inaonekana ukikosa hii makitu unaweza kulia.....LOL!
CC: Heaven on earth , snowhite !!!!
EiyerNilikuja kuelezwa hili na dada mmoja ambae nieafiki yangu kama na mimi nalijua hili
Ni kwamba huyu dada mume wake amemuambia kuwa kuanzia jana hawatakuwa wanakutana kimwili bila ya kuwa na ratiba maalum,yaani kama vile ambavyo wanaweza kupanga ratiba ya chakula yaani leo tunakula ngararimu na ijumaa tutakula kiburu basi itakuwa hivyo na kwenye suala la unjumba
Dada huyu ameniambia kuwa hali hiyo haipendi na kwa kuwa ananiheshimu ameamua kuniambia hayo ili kama na mimi nakubaliana nalo ama la
Ki ukweli mimi nilimuambia jambo hilo sidhani kama linafaa kwa kuwa kwa mtazamo wangu wa harakaharaka ni kwamba kulipanga kutalifanya liwe linabore hivi
Kitendo cha kujua kesho nitakula kiburu kunakifanya chakula hicho kipoteze ule "utam" wake wa asili
Nilimueleza umuhimu wa kuliongelea hilo suala kwa upole na mumewe na ajitahidi sana kutokuonesha hasira kwani anahisi mumewe amekuwa na nyumba ndogo
Sasa hebu niambieni nyie mnalionaje suala hili la kupanga ratiba je ni jema au halifai?
Nisingependa tumjadili huyo jamaa kwakuwa sio lengo langu kuleta mada hapa
Lengo langu ni kujaribu kulitazama hili suala la kupanga ratiba ya unyumba kama linafaa ama halifai!
Karibuni nyote......!!!!!!!
lakini dada Mbinguni- Duniani asili ya hii kitu ni kwamba tulikuja huku duniani hivyo vyakula vikiwa detached havikuwa attached so this is nature.kuvukutanisha tena bila ratiba ndo siyo nature bana!because we want the nature to take its course.........and why should we schedule!!!!!!!!!!!!!!!
cc Crocodiletooth
kwani hujui nimeolewa na mzee wa 100 siku hizi...........ko ukipapasa tu ye huyo ubavuni
Asante umejibu vema Heaven on earth. Nilikuwa na hangoverbya cha asubuhi...chezeya DEMBA
Asante umejibu vema Heaven on earth. Nilikuwa na hangoverbya cha asubuhi...chezeya DEMBA
Asante umejibu vema Heaven on earth. Nilikuwa na hangoverbya cha asubuhi...chezeya DEMBA
what!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?