Tunapopangiana kula

wakti wowote ni wakti wa chai!
mambo ya kupangiana ratiba imekuwa premier league hiyo?
mxiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiu!

Ratiba muhimu eboo!!!!!

Hujambo lakini mama?
 
why most women rejects sex time table?lets say kila jmosi tunapiga mitungi kiasi then we eat.... ktk chumba chetu kidogo chenye joto kali
 
Ratiba muhimu eboo!!!!!

Hujambo lakini mama?

mi jambo lolote linalohusiana na mahalat sijui mapenzi!ukishaweka ratiba sheria na maakili meeengi ni booonge la turn off aseee!mambo ya kuoangiana uwe hiv!uje saaa sita na nusu kamili,sijui iwe ni jumatatu kabala ya jua kuzama!ala umekuwa mnajimu wa nyotaaaa?aaaargh
mi sijambo baba!wewe?
ona sasa mpka nimesahau kukusalimia!
 

Sasa kupanga si muhimu ili ujiandae?

Si unajua zenu zile za "oooh mi sijajiandaa leo"

Utafikiri itawekewa dizel ili iwake ...LoL!
 
Heaven on earth naomba uniambie, 'cha asubuhi' umekijulia wapi, ina maana unalala na mwanaume hadi asubuhi SIKU HIZI?:lying::lying:
asipochafuka atajifunzaj banaaa!
af Kaizer hiv kwanini KAZI ZOOOOOOTE HUWA ZINATAKA UWE NA EXPERIENCE MIAKA MINGIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
HIII YA KUPATA MORNGI GLORY MBONA WATU ALWAYS DO LOOK FOR minors!
NAULIZA TU!
af mekumiss ujue!
 
Last edited by a moderator:
Jaribu one time......au ubaba paroko ndo umekufunga!!!!!!!!!!

kina raha yake.......

Hebu uje tu test one time ili na mimi nijue hiyo makitu aisee!!!!

Hebu njoo kule bana.........
 
Sasa kupanga si muhimu ili ujiandae?

Si unajua zenu zile za "oooh mi sijajiandaa leo"

Utafikiri itawekewa dizel ili iwake ...LoL!

AHAHHAHAHHAHAH!
kuna muda huwa unakuwa chizi wewe!
kujiandaa fine but niambie mapema ninachokataa mimi ni ile habari ya kila siku jumatatu!saa tatu usiku kitandani utaanza kunishika hapa kisha uhamie pale kisha uendelee !aaaaargh!
yani darasani niwe na ratiba za vipindi!
ibada kanisani niwe na ratiba ya misa
magazeti nijue kuna sani jumatano sijui mawio alhamis na raia mwema jumatano
mpka palkushonari kweli na yenyewe ratibaaaa!
NOPE NOPE NOPE!
 
Hapo ujue kuna ratiba ingine ishapangwa na mwingine huko, jamaa anajaribu kutengeneza convenience of implementation
 
AHAHHAHAHHAHAH!
kuna muda huwa unakuwa chizi wewe!
Shauri yako kama hujui
kujiandaa fine but niambie mapema ninachokataa mimi ni ile habari ya kila siku jumatatu!saa tatu usiku kitandani utaanza kunishika hapa kisha uhamie pale kisha uendelee !aaaaargh!
Hujui kuwa kabla ya kuingia uwanjani inatakiwa upige jaramba kwanza?
Sasa mimi kukurupuka tu siwezi bana
yani darasani niwe na ratiba za vipindi!
Hujui kuwa ukijua leo kuna mtihani unajisomea?
Sasa nikistukiza tu halafu ukute hata maandalizi hayapo si balaa?
ibada kanisani niwe na ratiba ya misa
Ratiba ndio utam wenyewe
Unajiandaa kabisa hata kwa fomesheni utakayoitumia uwanjani

Unajua kabisa leo napiga four three two!
Kisha nabadili four four two!
magazeti nijue kuna sani jumatano sijui mawio alhamis na raia mwema jumatano
Hujui sasa si ndio mzuka wenyewe huo unajua kabisa ile hadithi ya kwenye mawio ni mzuka sana na utaisubiria kwa ham?
mpka palkushonari kweli na yenyewe ratibaaaa!
NOPE NOPE NOPE!
Utam ni ratiba weye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…