Tunapopangiana kula


Kaka yangu Eiyer, sijakupata vizuri huyo mwenye pesa ndio anayelia kuwa ana'vurugwa' pamoja na pesa zake au ye ndo ana'vuruga'? Kama yeye ndo mwenye ku'vurugwa' kiasi cha kupelekea kutoa kilio basi ni vema akajichungua pengine (Kama ni mwanaume) amejisahau na kuchukulia kuwa pesa ndo kigezo cha kila kitu. Kuwa akimridhisha mpenziwe kwa mipesa yake atatulia ilhali anasahau mapenzi na mapendo............Itanifaidia nini mie unipende uwe kila siku waniletea micheki na mipesa yako, wannunulia kila ntakacho ilhali 'strongroom' unapwaya? Kila ukirudi umechoshwa na mihangaiko ya kusaka mipesa, kila ukirudi wakesha ukilalama ju ya mipesa unipayo..huna mapenzi zaidi ya mikomandi na majigambo ya nguvu za pesa zako?? nisikulize tu na mipesa yako?? ......................... Na ikiwa ni mwanamkek ndo mwenye mipesa, the same applies.......... mapenzi hayanunuliwi na ndio maana masikini wao wanajivunia mtaji wao walio nao.... kupenda na utamu wa nyama ya ulimi.
 
Last edited by a moderator:
Lakini pia tukumbuke kuwa sometimes hawakinai kama tunavyofikiria ila ile factor ya pesa ndio inamfanya aweze kujaribu ladha tofauti kila kukicha, mana twajua kuwa pesa sabuni ya roho............kama hazitamtawala yeye na kumfanya awe na kiburi cah "Nina pesa nawezampata mwanamke yoyote nimtakaye" basi pesa yake itawavuta wanawake wenye nguvu za kunusa.... na kama tujuavyo binadamu tu wadhaifu sana hasa tunapotegwa kwenye Nyanja za aina hiyo
 
Hiyo inapoteza msisimko na mara nyngi huwa kuna tatizo la maelewano kwa wawili yanakuwa sio mazuri. Labda kama kuna mmoja ana ugonjwa au tatizo ambalo mwenzi wake apaswa kulivumilia na kumsaidia mwenzake.
 
Mkuu hebu fafanua bana
Inaondoaje mvuto?

kama sina mood ya kufanya alafu ndiyo sku yenyewe,,, we mwenyewe tafakari mapenzi yale unayopanga appointment yanakuaje na yale yanayojitokeza on spot kwa bahati mbaya yanakuaje yapi matamu sana, me sipendi hii kitu nkiwa najua naenda gegedwa napata wakat mgumu sana sijui naonaje anya way its okey,
 
Eiyer jiulize kama wanapanga ratiba watoto watawapataje? na kwa mfano siku za kupata ujauzito ndo unakuta ratiba hairuhusu kujamiiana

huu ni upuuzi wa hali ya juu.......kuna tatizo hapo sio bure
DEMBA hebu come zis way nikunong'oneze jambo
 
Last edited by a moderator:

okay nazingatia sana sehemu iyo MwanajamiiOne
 
Last edited by a moderator:
Ofisi mkuu na majukumu mengine ya kimaisha bila kusahau mimi ni mke na mama pia. Majina yote hayo yanakuja na majukumu yake

Umejifunza nini kwenye jibu lako?
 
Umejifunza nini kwenye jibu lako?

Kumbe nimejitungia mtihani mwenyewe!
Unataka nijibu kuwa kuitekeleza hiyo ratiba hata kama nimechoka ni jukumu langu kama mke?
Haya naomba utafute marking scheme uje usahihishe
 
Kaka yangu Eiyer, sijakupata vizuri huyo mwenye pesa ndio anayelia kuwa ana'vurugwa' pamoja na pesa zake au ye ndo ana'vuruga'?
Watu wenye hela mara nyingi ndio wenye malalamiko ya kutokujaliwa na mwenzi wake,hii inatokana na kuwa na mambo mengi sana yahusuyo pesa na kukosa muda wakuwa na mhusika wa penzi lake
Kama yeye ndo mwenye ku'vurugwa' kiasi cha kupelekea kutoa kilio basi ni vema akajichungua pengine (Kama ni mwanaume) amejisahau na kuchukulia kuwa pesa ndo kigezo cha kila kitu.
Kitendo cha kuwa na hela ni dhahiri kichwa cha huyu mtu awe ni mwanamke au kinyume chake ni kuwa atakuwa na mambo mengi sana kichwani mwake kitendo kitakachomfanya avuruge,mkikutana wote mna hela hapo ni mvurugano tosha

Niliwahi kufanya kazi kwenye kampuni moja hivi
Mwenye kampuni na mkewe ni wafanyabiashara huyu leo yupo nyumbani kesho anaondoka keshokutwa naingia huyu,yaani kuwakuta nyumbani wote ni kama vile kuokota furushi la pesa barabarani

Ilifika siku moja mume akamfumania mke na lijamaa kwenye hoteli moja maarufu Morogoro,mume alitaka kuua mtu kwa bastola lakini mke alikuwa mkali sana na alimwambia mumewe kama kweli ni kidume ajaribu kufyatua risasi hata moja,jamaa alinywea kwakuwa anajua kuwa yupo busy sana na mambo yake pamoja na mkewe nae hivyo hivyo na kumbe mkewe anajua kuwa mumewe hua anajivinjari mara nyingi tu na vimwana huko nje

Kesi ilikuja kuamuliwa na wazee na ikajulikana kuwa kazi ndizo zinazowafanya wasiwe pamoja muda mwingi

Haya ndio matatizo ya wenye hela
Mama,
Wanawake nyie kila uchao mnatuacha sie tusiokuwa na hela na kuwakimbilia wenye nazo halafu unaniambia kuwa hamjali hela?
Sory i don't buy that
Sisemi unafanya hivyo lakini nahisi kila ubongo wa mwanamke unawaza hii kitu
......................... Na ikiwa ni mwanamkek ndo mwenye mipesa, the same applies.......... mapenzi hayanunuliwi na ndio maana masikini wao wanajivunia mtaji wao walio nao.... kupenda na utamu wa nyama ya ulimi.
Na hii ndilo tunaowapigia bao wenye hela na kuwabanjulia wake zao kila uchao........LOL!
 

Mimi sina mpenzi wala nini
Hebu nisimulie huwa yanakuwaje vile?
 
Mimi sina mpenzi wala nini
Hebu nisimulie huwa yanakuwaje vile?

aaah aha ha ha ha si sawa jaribu ujionee mwenyewe inakuwa kama ile siku ya kwanza kuingiza nani yako kwa mwanamke.
 
Umeona eh.....yaani ni matatizo makubwa ila kwa wanaojitambua huwa wanafanya juu chini kuhakikisha wanapata muda kwa wale wawapendao. Ukikuta mtu mtafutaji kiasi cha kuwa hana muda na mpenziwe jua kuwa yuna muda na 'mwingine' au hajajitambua.

Mama,
Wanawake nyie kila uchao mnatuacha sie tusiokuwa na hela na kuwakimbilia wenye nazo halafu unaniambia kuwa hamjali hela?
Sory i don't buy that
Sisemi unafanya hivyo lakini nahisi kila ubongo wa mwanamke unawaza hii kitu
......Nakubaliana na wewe kwa kuwa you are entitled to your opinion and besides sijui yamekukuta yepi but ninapenda kukuhakikishia kuwa sio wanawake wote wako hivyo. MJ1 anawezakuwa yuko after money, kila saa anawaza mapene but utakuta Mamndenyi au Smile au King'asti wana mapenzi ya kweli ambayo pesa haina nafasi (pengine wao ndo wenye nazo sana kiasi cha kuwa ndio wahongao)
 
Last edited by a moderator:
I dont think if its a good idea

sex should be spontaneous,mapenzi yananoga zaidi kukiwa hakuna ratiba za maalum bana

we siku una ham halafu unakutana na ratiba....

Uko sahihi kabisa Imeandikwa " mke hana mamlaka juu ya mwli wake isipokuwa mumewe vile vile na mume hana mamlaka juu ya mwili wake ispokuwa mkewe , msinyimane isipokuwa kama mmekuybaliana ili mfunge" hapa maana yake babu akijinyoosha tu bibi lazima na aseme karibu .... Na bibi pia akijisikia kukunwa tu na aseme babu njoo basi hutakiwi kubisha ni kutimiza huo wajibu HUYO MPANGA RATIBA AACHE TABIA HIYO MARA MOJA !!!!...
 
Inanishangaza kuwekeana ratiba kwenye mambo ya ndoa. pia huyo dada-rafiki ana lake jambo analolitaka kutoka kwako anakutafutia target tu unase ili akupe uday worker kutokana na kusymphathetic feeling kwake.kuna problem pande zote mbili. jichunge
 
Eiyer unajua hata wasiokuwa na pesa wanakero zao, tena zinaudhi zaidi bora mwenye pesa atakutuliza kwa kukutoa dinner.Jamaa anawaza lini atapata pesa na malalamiko kila kuchao achilia mbali inferiority complex kwamba anaweza kunyang'anywa mpenzi na wenye nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…