Awuot
JF-Expert Member
- Nov 10, 2018
- 1,172
- 1,406
Aseee!!Ni ujinga na uvivu wao
Aseee!!Ni ujinga na uvivu wao
Haya ndio mawazo ya watanzania wemgi.. Duuu ndo nyinyi mnataka kwenda kuwa na uchumi wa kati kwa mawazo haya. Mwenyezi mungu mbariki mh raisi kwa kuwa na akili kubwa lkn wapambe wake zero brainBadala ya wewe kuongeza juhudi za kufanya kazi unasema serikali ichukue hatua! Tangu lini serikali ikakuwekea mafuta kwenye gari lako. Huna uwezo basi li pack utumie dala dala.
Nilivyoelewa mimi siyo kuwa anataka serikali imwekee mafuta bali anashangaa bei ya mafuta ilivyopanda kwa kasi....na huenda ana duka la bidhaa lkn lilifungwa na TRA kwa kodi kuwa kubwa na kushindwa kuimudu. Mtaji nao alikopa bank hivyo nyumba ya kuishi ipo sokoni inauzwa na bank.....WAAFRIKA HATUNA KAULI MOJA NDIYO MAANA TUNATAWALIWA HADI LEO.Badala ya wewe kuongeza juhudi za kufanya kazi unasema serikali ichukue hatua! Tangu lini serikali ikakuwekea mafuta kwenye gari lako. Huna uwezo basi li pack utumie dala dala.
Fanya kazi mkuu mambo ya kuzunguka mtaani kuulizia bei za dollars cjui petrol ni ujingaLeo nimefika kwenye kituo cha mafuta kuweka mafuta gari langu duuh sikuamini macho yangu. Lita moja ya dizeli nimekuta ni Tshs.2586. Pili nimeenda Benki kuulizia bei ya dollar ya Kimarekani duuh nikakuta dollar moja ni 2350. Nikajiuliza kweli hii ni Tanzania au nimekosea. Kwa kweli tunapoenda siyo pazuri. Serikali chukueni hatua za haraka. Nadhani kuna tatizo mahala fulani. Kweli hii ndiyo Tanzania.
Leo nimefika kwenye kituo cha mafuta kuweka mafuta gari langu duuh sikuamini macho yangu. Lita moja ya dizeli nimekuta ni Tshs.2586. Pili nimeenda Benki kuulizia bei ya dollar ya Kimarekani duuh nikakuta dollar moja ni 2350. Nikajiuliza kweli hii ni Tanzania au nimekosea. Kwa kweli tunapoenda siyo pazuri. Serikali chukueni hatua za haraka. Nadhani kuna tatizo mahala fulani. Kweli hii ndiyo Tanzania.
Sasa kama hakufanya kazi kwa juhudi angewezaje kununua gari na kwenda kituo cha mafuta kujaza mafuta? Soma vizuri hajasema ameshindwa kununua mafuta na hajasema serikali imnunulie mafuta. Unaelewa maana ya inflation? Hujui hiyo itamwathiri kila mwananchi mpaka marehemu?Badala ya wewe kuongeza juhudi za kufanya kazi unasema serikali ichukue hatua! Tangu lini serikali ikakuwekea mafuta kwenye gari lako. Huna uwezo basi li pack utumie dala dala.
Watu kama wewe mnastahili kuuliwa kikatili kama nyoka,yeye ndo kapandisha bei ya dola na mafuta?Badala ya wewe kuongeza juhudi za kufanya kazi unasema serikali ichukue hatua! Tangu lini serikali ikakuwekea mafuta kwenye gari lako. Huna uwezo basi li pack utumie dala dala.
BOT na ikulu zinatumiwa na mtu yeyote?Unajua mwaka 2010 dola ilikuwa kiasi gani kwa shilingi? Fluctuation ya dola hutegemea mambo mengi na siyo uamuzi wa serikali kuwa ipande au ishuke. Tujitahidi kufanya kazi kwa bidii.
Hii haihalalishi mafuta kupanda wala dollar mkuuShukuru mungu una hela tena dolar kabisa kuna wenzio hata hiyo rangi ya dolar hawajui ina fananaje
Hahahhaha, mkuu wimbo wa mussa ??Tajiri hawezi Ishi kama shetani anaexposure ya kuhifadhi kwa Jirani waonyongwe tutanyongwa hasa hadi tuimbe wimbo wa MUSSA
Hata hapa tulipo si pazuriLeo nimefika kwenye kituo cha mafuta kuweka mafuta gari langu duuh sikuamini macho yangu. Lita moja ya dizeli nimekuta ni Tshs.2586. Pili nimeenda Benki kuulizia bei ya dollar ya Kimarekani duuh nikakuta dollar moja ni 2350. Nikajiuliza kweli hii ni Tanzania au nimekosea. Kwa kweli tunapoenda siyo pazuri. Serikali chukueni hatua za haraka. Nadhani kuna tatizo mahala fulani. Kweli hii ndiyo Tanzania.
Lol...hi ni akili ya mtu mzima kweli??Badala ya wewe kuongeza juhudi za kufanya kazi unasema serikali ichukue hatua! Tangu lini serikali ikakuwekea mafuta kwenye gari lako. Huna uwezo basi li pack utumie dala dala.
Yes. Kama hawezi basi aache kulalamika. Kina Kibajaji na Msukuma ni nani amewapeleka bungeni kama siyo sisi?Lol...hi ni akili ya mtu mzima kweli??
Yaani unamtaka huyu ndo adhibiti kuporomoka kwa shilingi..!! Unamtaka mwananchi adhibiti bei ya mafuta...!!
Hapana jamani ushabiki mwingine hautusaidii
Tunaenda ZimbabweKenya $1= KE103 hapa kwetu $1= Tshs.2350. 1KE= Tshs. 25. Tunaenda wapi.
Badala ya wewe kuongeza juhudi za kufanya kazi unasema serikali ichukue hatua! Tangu lini serikali ikakuwekea mafuta kwenye gari lako. Huna uwezo basi li pack utumie dala dala.
Badala ya wewe kuongeza juhudi za kufanya kazi unasema serikali ichukue hatua! Tangu lini serikali ikakuwekea mafuta kwenye gari lako. Huna uwezo basi li pack utumie dala dala.


. Bado tuna akili za mende