Tunapoelekea siyo pazuri

Tunapoelekea siyo pazuri

Membe would had done better, Lowasa the best.
 
mbele kwa mbele ngoma sasa mwaka hauishi huu $1 itamaliza na tshs 2400 itunzee hiii maneno yanaishi vyanzo vya uchumi ni nin?
 
Hii ndio serikali ya wanyonge , na matajiri wataishi Kama mashetani
 
Mazingira hayachochei kufanya Kazi kwa bidii zaidi ya kula hatuna export mazao hayaruhusiwi kuuzwa nje tupate dola ili ijibalance
Unajua mwaka 2010 dola ilikuwa kiasi gani kwa shilingi? Fluctuation ya dola hutegemea mambo mengi na siyo uamuzi wa serikali kuwa ipande au ishuke. Tujitahidi kufanya kazi kwa bidii.
 
Kanuni ya no ni msoma namba na mgawa namba lzm wote waisome,cause and effect.
Msomaji namba na msomeshaji namba, kwa pamoja wanasoma namba, kwa hiyo naona lengo kimefikiwa so malalamiko hayatakiwi .period
 
Hii ndio serikali ya wanyonge , na matajiri wataishi Kama mashetani
Tajiri hawezi Ishi kama shetani anaexposure ya kuhifadhi kwa Jirani waonyongwe tutanyongwa hasa hadi tuimbe wimbo wa MUSSA
 
Hatua za haraka zinazoweza kuchukuliwa na serikali hii ili kuzuia shilingi yetu kushuka thamani ni Bashiru kumuita Membe. Membe huyu anaporomosha thamani ya shilingi yetu.
 
Hatua za haraka zinazoweza kuchukuliwa na serikali hii ili kuzuia shilingi yetu kushuka thamani ni Bashiru kumuita Membe. Membe huyu anaporomosha thamani ya shilingi yetu.
 
Unajua mwaka 2010 dola ilikuwa kiasi gani kwa shilingi? Fluctuation ya dola hutegemea mambo mengi na siyo uamuzi wa serikali kuwa ipande au ishuke. Tujitahidi kufanya kazi kwa bidii.
Hahaha nina kazi yangu swafi, pesa swafi ndio maana silalamiki hapa. Nimejarib ku highlight anacho maanisha mchizi hapa.

tarehe 30 jun 2010 1 tzs = 1,595 USD. Angalia 2010 tulikuwa wapi, now 2018 tuko wapi?
Yes kuna mambo mengi yanachangia kushuka kwa dhaman ya fedha. Ningependa initajie kijana
 
Sema wewe na kizazi chako mnako elekea ni kubaya sana walahi
hiv ww hua una shida gan kichwan kwako...mbona unaboa hvyo?kisa unaishi kwa shemej bas akili hazikui..hebu jaribu kuwa mstaarabu muda mwingine unadhan wote tunaishi kwa mashemej?stupid
 
Hatua za haraka zinazoweza kuchukuliwa na serikali hii ili kuzuia shilingi yetu kushuka thamani ni Bashiru kumuita Membe. Membe huyu anaporomosha thamani ya shilingi yetu.
😂😂😂😂😂😂salute
 
Wewe bwna unamatatizo yako bunafc,cc tuko kwenye right track.
 
Shukuru mungu una hela tena dolar kabisa kuna wenzio hata hiyo rangi ya dolar hawajui ina fananaje
Hata nauli ya daladala wengine hawana hiyo dola wanaisikia tu ikitamkwa kwenye tv habari za biashara hata hawajui ipoje.
 
Back
Top Bottom