Tunapoelekea siyo pazuri

Tunapoelekea siyo pazuri

Unajua mwaka 2010 dola ilikuwa kiasi gani kwa shilingi? Fluctuation ya dola hutegemea mambo mengi na siyo uamuzi wa serikali kuwa ipande au ishuke. Tujitahidi kufanya kazi kwa bidii.
Nimegundua sio hujui tu unachoandika. ila hutak kujifunza jambo.baki na ujinga wako magu ndo anawapenda sana nyinyi
 
Leo nimefika kwenye kituo cha mafuta kuweka mafuta gari langu duuh sikuamini macho yangu. Lita moja ya dizeli nimekuta ni Tshs.2586. Pili nimeenda Benki kuulizia bei ya dollar ya Kimarekani duuh nikakuta dollar moja ni 2350. Nikajiuliza kweli hii ni Tanzania au nimekosea. Kwa kweli tunapoenda siyo pazuri. Serikali chukueni hatua za haraka. Nadhani kuna tatizo mahala fulani. Kweli hii ndiyo Tanzania.

nchi ya kwanza duniani idara zote ndani ya serekali kuu utazani zipo sokoni
 
Leo nimefika kwenye kituo cha mafuta kuweka mafuta gari langu duuh sikuamini macho yangu. Lita moja ya dizeli nimekuta ni Tshs.2586. Pili nimeenda Benki kuulizia bei ya dollar ya Kimarekani duuh nikakuta dollar moja ni 2350. Nikajiuliza kweli hii ni Tanzania au nimekosea. Kwa kweli tunapoenda siyo pazuri. Serikali chukueni hatua za haraka. Nadhani kuna tatizo mahala fulani. Kweli hii ndiyo Tanzania.
Hahahaaa ndio uchumi una kuwa.. Watu wanna fanya mazoezi kuongoza nchi Kama nyumba zao ndogo.. Kuna shida kubwa... Walianza na sukari ikawashinda, ukuta mererani, ikawashinda, makinikia, wameangukia pua, korosho jibu mnalo... Nchi haiedeshwi Kama guest house.
Natamani kuwa mbunge WA Arumeru.
 
Back
Top Bottom