Tunapochangia mada kuhusu Wanawake tuwe na STAHA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunapochangia mada kuhusu Wanawake tuwe na STAHA!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kennedy, Mar 30, 2012.

 1. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,288
  Likes Received: 2,957
  Trophy Points: 280
  Habari wana JF wote. Kumekuwa na michango mizuri sana,ya kuelimisha kuhusu maisha yetu ya kila siku toka hapa JF. Lakini ni vema tunapochangia kuhusu wanawake tukawa na staha,kwa maana moja tusitumie maneno makali,dharau,kukashfu. Dunia hii bila wanawake haikaliki pia bila wanaume haikaliki vilevile. Wanawake ni Mama zetu kuna familia,zina wanaume watupu basi wanatamani angezaliwa na wa kike. Pia kuna familia zina wanawake tu. Lengo km nilivyosema staha ktk michango yetu iwepo.
   
 2. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Mh! Labda hujafanya utafiti, mbona mie naona hata sisi huwa tunashambuliwa na Wabeijing humu!
   
 3. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Hasa nikiweka visa vyangu vya ujanani, nashambuliwa na Wabeijing kama mpira wa kona................LOL
   
 4. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,288
  Likes Received: 2,957
  Trophy Points: 280
  Duuh! Hatari mkuu nadhani mwendo ni "AKUCHOMAE MCHOME"
   
 5. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,288
  Likes Received: 2,957
  Trophy Points: 280
  Kumbe ukiwawekea Dhamana unafungwa.Pole Mkuu,kumbe longtime walitaka kukugawana?
   
 6. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Ujue mimi kinachonitatiza kuhusu wanaharakati wote ni kimoja tu, nadhani wako biased sana hadi wanaturn a blind eye on how selfish they have become. Hii ni Jamii tunatakiwa kudefine proper way ya communication, rights na responsibilities za everyone. I totally support the threader in this aspect; Staha ni muhimu sana kwenye kutoa mada na kujibu ili wote tuachieve the 'Home of great thinkers' status that we claim...Watu humu wanaume/wanawake asilimia kubwa saa nyingine wanakosa staha. So we threader address hii problem kwa wote acha kuwa biased!
   
 7. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,288
  Likes Received: 2,957
  Trophy Points: 280
  PetCash pamoja sana.
   
 8. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Inategemea ntu na ntu
   
 9. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hebu viweke hivyo visa vyako mkuu, mana naona kama mimi na wewe tuko kwenye same speed :violin:
   
 10. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,026
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  .Hawana lolote hao; huwa wanatamani uwafanyie wao. Hujichukia kwa kutozaliwa kabla ya mama zao ili wavifaidi visa vyako. Nawapa POLE zao
   
 11. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Una mkeo humu JF??pole sana
   
 12. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #12
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Labda ndio anachumbia humu JF...............LOL
   
 13. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #13
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana na wewe Sanaaaaaa .
   
 14. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #14
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hayo ni mawazo yako , asante kwa kuchangia
   
 15. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #15
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  ona sasa yani mtu kushauriwa kuwa na lugha ya staha imekuwa anachumbia hivi kwenye hizo familia zenu mnakuwa wazazi au walezi wa namna gani?
   
 16. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #16
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Kennedy me love you ghafla! R u in a serious relationship, coz if not; l will be humbled to cherish your life with gigs of Love!
   
 17. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #17
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Nimerusha nyavu zangu sasa! Kikudugude, seniour cheater! LOL
   
 18. S

  SI unit JF-Expert Member

  #18
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kama kuna anaechangia bila staha, mods watamwangalia kwa jicho la upande wa pili na kitakachomtokea atajutiiiia...
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Mar 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  umenena vyema....
   
 20. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #20
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  kumbe hapa TZ kuna wabeijing mweh
   
Loading...