Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,674
kumbe hapa TZ kuna wabeijing mweh
Karibu kwenye chama lol!
kumbe hapa TZ kuna wabeijing mweh
Mh! Labda hujafanya utafiti, mbona mie naona hata sisi huwa tunashambuliwa na Wabeijing humu!
Mh! Labda hujafanya utafiti, mbona mie naona hata sisi huwa tunashambuliwa na Wabeijing humu!
Hazitamani azaliwe mwanaume.inshort mkuu kuna mama yangu mkubwa anawatoto 4 wote wa kike na watatu walichezea mdudu walipokuwa school wakajazwa mimba wamezalia nyumbani samtime adi anajilaani anasema kwanini alizaa wale walinzi wakike wa usiku.d.o...gkuna familia,zina wanaume watupu basi wanatamani angezaliwa na wa kike. Pia kuna familia zina wanawake tu.
Naomba mwongozo wako mkuu, kwa mfano nataka kuchangia jinsi ambavyo mwanaume anatakiwa kumridhisha mke wake kwenye tendo la ndoa (hapa nikiwa ninamaana kumfikisha kileleni), wataalamu wa mambo ya mahusiano huwa wanasema njia mojawapo ni kuchezea 'clitoris' kwa lugha ya kigeni (neno ambalo kwa kiswahili lina maana 'kisimi').Mtambuzi kuna maneno yanatumika humu jamvini.....hayafai kabisa, basi tu watu kujifanya wao ndio wao!