Tunapendana ila tunaogopa kuambiana

Tunapendana ila tunaogopa kuambiana

walishatoka siku nyiingi fuatia vizuri hayo maelezo anafuta ushahidi tu hapo
 
Kama umeweza kutambua kuwa mnaogopana, basi unaweza kuushinda woga huo. Sidhani kama kuna tatizo ukimwambia tu. Maana chelewa chelewa...............
 
Basi nyie bado watoto. Ingekuwa watu wazima mngeweka mambo sawa.
 

Sorry lakini, kwa mtiririko huu unataka ajue unampenda au unataka ajue kuwa upo radhi mfanye uzinzi/ngono?


huwa anapenda kunikumbatia na kushika mikono Yangu tunapokuwa peke yetu na ninapokuwa kifuani kwake huwa anashidwa hata kuongea na moyo wake huwa kasi mm hujikuta nimelowa lakini naogopa kusema yy pia, naomba ushauri nifanyaje ajue nampenda maana nyege zinatuua
 
Huwa huwa mnakwenda kuimba kwaya au kutafuta ngono. Maana hapo inaonyesha upo tayari unasubiri tu kauli yake utoe papuchi hata bila ya ndoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom