Da Pretty
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 3,059
- 1,154
Na vifua mushalaliana?
Afu unakatiza unakuja kuomba ushauri.
Mbona mnapelekana slow notion?
Na mie nashangaa
Na vifua mushalaliana?
Afu unakatiza unakuja kuomba ushauri.
Mbona mnapelekana slow notion?
Tumekuwa marafiki mda mrefu sasa kama miezi saba, kijana huyu amekuwa akinivutia sana hasa kwa tabia namuonekano wake yeye anasali kanisa katoliki pia ni mwana kwaya anamambo ya dini sana hivyo tukiwa peke yetu hata usiku huwa tunapiga story za dini tu na kusikiliza kwaya huwa anapenda kunikumbatia na kushika mikono Yangu tunapokuwa peke yetu na ninapokuwa kifuani kwake huwa anashidwa hata kuongea na moyo wake huwa kasi mm hujikuta nimelowa lakini naogopa kusema yy pia, naomba ushauri nifanyaje ajue nampenda maana nyege zinatuua
Yaan kulaliana vifua bila kugegedana huku mkiwa mmeloana ni sawa na kuoga bila kuloa mgongo..nvr seen before..
mmmmmh subiri akwambie yeye vuta subira akianza yeye kufunguka ina raha yake
Merry christmass mkuu
Kama ni kwaya master andika manyoya maana ndo stail zao za kuomba mzigo hzo
Dada!
Etieee
Tumekuwa marafiki mda mrefu sasa kama miezi saba, kijana huyu amekuwa akinivutia sana hasa kwa tabia namuonekano wake yeye anasali kanisa katoliki pia ni mwana kwaya anamambo ya dini sana hivyo tukiwa peke yetu hata usiku huwa tunapiga story za dini tu na kusikiliza kwaya huwa anapenda kunikumbatia na kushika mikono Yangu tunapokuwa peke yetu na ninapokuwa kifuani kwake huwa anashidwa hata kuongea na moyo wake huwa kasi mm hujikuta nimelowa lakini naogopa kusema yy pia, naomba ushauri nifanyaje ajue nampenda maana nyege zinatuua
Kha! Mmekumbatiana? Mnatunga beti za wimbo gani huo? Wallah shetani labda kama yuko likizo
1. Mnaimba kwaya
2. Mnakutania kanisani akili zikiwa na matanio
3. Mna nyegeshana huku mnasikiliza nyimbo za dini
Mbona mnatenda mambo mawili yanayo pingana. Kanisa na kunyegeshana Wakati si wana ndoa!!
Bwana awarehemu kwakweli
Inabidi nikuombe ushauri kwa jambo fulani
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Tumekuwa marafiki mda mrefu sasa kama miezi saba, kijana huyu amekuwa akinivutia sana hasa kwa tabia namuonekano wake yeye anasali kanisa katoliki pia ni mwana kwaya anamambo ya dini sana hivyo tukiwa peke yetu hata usiku huwa tunapiga story za dini tu na kusikiliza kwaya huwa anapenda kunikumbatia na kushika mikono Yangu tunapokuwa peke yetu na ninapokuwa kifuani kwake huwa anashidwa hata kuongea na moyo wake huwa kasi mm hujikuta nimelowa lakini naogopa kusema yy pia, naomba ushauri nifanyaje ajue nampenda maana nyege zinatuua
mnatutia genye tu alaaah...
nyimbo za kwaya zinawapaje nyege acheni uzinzi nyoe kondoo wa bwana.Kama mnapendana katambulishane kwenu mfunge ndoa lakin si mambo ya nyege na kwaya.
Nyimbo za kwaya mnazosikiliza kama zinawapa nyege je mkisikiliza nyimbo za Diamond si ndio mtabaka kuku na chura
Basi mshaambiana kwa ishara, maana mnajua mnapendana. Kuna lugha za ishara pia...Tumekuwa marafiki mda mrefu sasa kama miezi saba, kijana huyu amekuwa akinivutia sana hasa kwa tabia namuonekano wake yeye anasali kanisa katoliki pia ni mwana kwaya anamambo ya dini sana hivyo tukiwa peke yetu hata usiku huwa tunapiga story za dini tu na kusikiliza kwaya huwa anapenda kunikumbatia na kushika mikono Yangu tunapokuwa peke yetu na ninapokuwa kifuani kwake huwa anashidwa hata kuongea na moyo wake huwa kasi mm hujikuta nimelowa lakini naogopa kusema yy pia, naomba ushauri nifanyaje ajue nampenda maana nyege zinatuua