Tunapenda mara moja tu!

Kuna signature ya mtu humu huwa inasema kinyume na mada..
 
hakuna tafsiri sahihi ya upendo hivo hakuna mtu anae weza sema Alisha penda au kupendwa....na aka prove hilo kisayansi.
 
naye mpenda aamini kama nampenda ila sasa ndo kuanza anza michakato
 
Mapenzi ni kama chain unayempenda kapenda sehemu nyingine na huyo naye kapenda mahali pengine kwahiyo inakuwa kama herufi (m).
Niliwahi kupenda mimi mpaka mhusika alijua lakini ni wachache sana wanao thamini upendo wa mtu .
Ila moyo hujifunza kupenda tena
 
Nilishawahi kumpenda mwanaume mmoja tu ambaye kwa kumbukumbu nzuri siku aliyoniambia ananipenda nlilia sana mbele yake,nlicholilia ckukijua mpaka leo
 
Kila mtu na namna yake yake...lakini kwa kadiri nijuavyo wapo wanaojifunza kupenda na hao huweza kupenda mara zaidi ya moja.
 
umejuaje kama umependa hebu tupe uzoefu umehisi nini mpaka ukahitimisha kuwa umependa na kupenda ni raha au maumivu tupe darasa mkuu
maelezo yangu hapo juu yamejitosheleza! nimeona utofauti mkubwa na mahusiano mengineyo!
 
sio kila aneoa/kuolewa kapenda. wengine basi tu eti wanatoa 'nuksi'


Duh hii kali kweli na ninawafananisha na ule imbo wa Sikinde 'Jinamizi La Talaka," very good song na una mafunzo mazuri sana.
 
Kwa mtazamo wangu hakuna mapenzi ya dhati ni kutimiza wajibu tu tena mara nyingi ht kwa wanaume inakuwa unamiss mambo fulani kwa mke aliepita na unalinganisha na wasasa unaona kama bd hujapata mapenzi ni mtihani mkubwa


Kwa kigezo ama mtizamo huu, kuna kuepuka kuchepuka kweli hapa?
 
We Unaweza kuacha kazi au kufukuzwa kampuni nne tofauti...Lazima moja uliipenda zaidi au hakuna hata moja ulioipenda...unahangaika tu...ndo kama hivyo


Kwa hiyo mtu unaishia tu kuwa 'Jinamizi La Talaka' kama wimbo wa Sikinde unavyojitangaza.
 
Wazee walisema kila shetani na mbuyu wake...sasa wewe umepata mbuyu wako... For some it happens once Wengine twice..Wengine it never happen

Thats The Boss,

Siyo kila mtu hupata bahati ya namna hiyo...

Ila kuna wengine wanaendekeza na kufanya sanaa!
 
Last edited by a moderator:
Wazee walisema kila shetani na mbuyu wake...sasa wewe umepata mbuyu wako... For some it happens once Wengine twice..Wengine it never happen
Ni kweli kabisa! It happened once, nilimpenda sana. Tatizo hakuna mtu niliyewahi kumchukia kama yeye pia. Ila kwangu mimi haitatatokea kupenda hivyo tena, maana kwa sasa I use my head, I no longer follow my heart
 
Kwa upande wangu ni kweli, yaani nampenda huyo mwanaume mpaka nahisi niyeye tu dunia nzima ndio mwanaume peke yake. Ila ............................!!!!!!!! Kupenda huku basi sawa.
Hizo deshi deshi means?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…