Tunapambanaje na gayizm(ushoga)

Tunapambanaje na gayizm(ushoga)

Swali la kujiuliza, mashoga wanadate na nani? Yaan jamii inamlaumu huyu muingiliwa, afu muingilia anaonekana shujaa na kidume haswaa.

Afu hao wanaume wanalaumu wanawake kwa kuwa karibu nao km marafiki, ili hali wao wana wageuza wake zao na kuwaingilia kimwili.

UNAFIKIIIIIIIII
Tatizo watu ni wanafiki sana!! Kuna uzi humu nilipita siku moja aiseee niliyoyakuta sijui mods hawauoni!!!!
Ni km kichaka cha wafiraj* yani wanajisifia wanavyowaingilia wanawake na wako very proudly, mpk unajiuliza hivi hawa wana familia na watoto majumbani mwao???

Ni aibu kwakweli!! Na ndio hawa hawa waharibifu wakubwa huko majumbani ila hapa wanajificha kwenye kichaka cha fake id’s

Hebu wanaume mnaowaingilia binadamu wenzenu acheni na kemeeni kwa kumaanisha sio hii blah blah ya JF uonekane mkereketwa kumbe nje ni MAFIA
 
Dada, Ninawafahamu japo kwa sehemu, nimefanya nao KAZI Sana Tu enzi zile za kuzuia maambukizi ya HIV na TB kwa kuwapa Elimu na Vilainishi! Nawajua ila sio kesi, wacha ninywe kwanza
Unajua wee unashindwa kuelewa nn mie nauliza, maana hoja unayotoa wee ni kuwafahamu kufanya nao kazi, sijui kuwapa vilanishi etc.

Hata sisi tunaishi nao na ni marafiki zetu wa karibu, achilia kufanya nao kazi ktk kutafuta mkate wa kila siku.

Ulipokua unashirikiana nao hao unao wafahamu, ulishawahi kuwahojii?
 
Tatizo watu ni wanafiki sana!! Kuna uzi humu nilipita siku moja aiseee niliyoyakuta sijui mods hawauoni!!!!
Ni km kichaka cha wafiraj* yani wanajisifia wanavyowaingilia wanawake na wako very proudly, mpk unajiuliza hivi hawa wana familia na watoto majumbani mwao???

Ni aibu kwakweli!! Na ndio hawa hawa waharibifu wakubwa huko majumbani ila hapa wanajificha kwenye kichaka cha fake id’s

Hebu wanaume mnaowaingilia binadamu wenzenu acheni na kemeeni kwa kumaanisha sio hii blah blah ya JF uonekane mkereketwa kumbe nje ni MAFIA
Kila siku nasema tatizo kuu ktk Suala la ushoga hapa nchini, ni UNAFIKIIIII.
 
Ulipokua unashirikiana nao hao unao wafahamu, ulishawahi kuwahojii?
Dada amini ninachokwambia, kama nimewafanyia Hadi hizo awareness INA maana nawafahamu.... anyway sio kesi! Tufanye siwahamu ili tuendelee sasa na mjadala, tusikwame hapa!
 
Dozi 24 za Kuzuia Watoto Wetu wa Kiume kuwa mashoga
_________________________

Swala hata awe na njaa vipi, hawezi kula nyama.

Hebu chukua hizi dozi 24 uwaanzishie watoto wako wa kiume uone kama utakosa riziki. Mtoto shoga siyo riziki tena!

Dozi ya 1

Mwanao wa kiume akija nyumbani akasema kuna msichana anamsumbua kila siku, anasema anampenda mchape viboko vingi.

Dozi ya 2

Mfundishe mtoto wako wa kiume mfumo dume japokuwa dunia inaulaani. Mwambie yeye ni mtawala popote aendapo! Mfumo dume ni mpango wa Mungu maana hata vitabu vitakatifu vinautukuza.

Dozi ya 3

Msisitize mwanao ajue yeye ni wa kiume na aachane na michezo ya kike. Ukimuona anacheza position ya kike kwenye michezo ya utotoni mchape sana.

Dozi ya 4

Mmezeshe mwanao wa kiume sumu ya kuchukia kuguswa hata kidogo na mwanaume mwenzake. Mwanaume atakayemgusa amuwakie.

Dozi ya 5

Mpige marufuku mtoto wako wa kiume kupaka mafuta yenye picha ya kike. Mlishe sumu kuchukia tabia ya kuwa na mafuta tofauti tofuati, mafuta ya kucha, nywele, ngozi, uso na poda kwa mbali. Mwambie ikiwezekana apake hata korie asepe😀😀

Dozi ya 6

Mfundishe mtoto wako wa kiume kuwa ngangari, kutolia akianguka na kuumia. Hata maji ya kuoga mwambie wanaume wanaoga maji ya baridi😀😀😀! Na wanaoga usiku tu baada ya kazi!🫢🫢🫢

Dozi ya 7

Mlishe sumu mwanao wa kiume ya kuacha kula kula vitu laini, ale vigumu, siku nyingine apige ugali bila mboga! Agonge mahindi ya kuchoma, miwa, karanga na akimaliza afute mdomo na kushushia maji ya baridi aende darasani.

Dozi ya 8

Mtengenezee mazingira ya kuchukia kukaa jikoni na mama yake na kupikapika. Hata moto asiote na dada zake wakati wa baridi. Akoke moto wake nje!

Dozi ya 9

Akioga asikubali kujifutia kanga ya mama yake. Hata kujifunga kanga kwenda kuoga mwambie no.

Dozi ya 10

Mlishe sumu mwanao wa kiume popote anapokwenda asikubali kulala na wageni wa kiume. Na aachane na tabia za kuomba anunuliwe nguo za kulalia!😀😀

Dozi ya 11

Mwambie mtoto wako wa kiume akiitwa majina ya kubebishwa na kukumbatiwa kumbatiwa akatae. Mwambie yeye siyo baby boy, yete ni mwanaume. Sisi tulifundishwa hivyo Milambo Sekondari. Tulifundishwa kujiita wanaume.

Dozi ya 12

Mwambie mtoto wa kiume marufuku kudeka. Akipigwa asilie. Akaze meno. Akija nyumbani analia mchape ili anyamaze.

Dozi ya 13

Ukimkuta mtoto wako wa kiume jikoni anasugua masufuria na kukuna nazi mpige. Mbinuko wa kukuna nazi kwa mtoto wa kiume hauna mwisho mwema!

Dozi ya 14

Mtoto wako akivaa suruali inayobana halafu fupi mpe mboko nyingi. Hata mlegezo mpe bakora.

Dozi ya 15

Mpe mtoto wako wa kiume pocket money na usimuulize aliitumia kufanya nini. Kikubwa mfundishe kwamba mwanaume halisi hulipa bili, halipiwi bili.

Dozi ya 16

Mtoto wako wa kiume akianza kutumia maneno kama jamoni,thatha, na kuongea anabana sauti mpe mboko za kutosha.

Dozi ya 17

Mtoto wako wa kiume akianza kufuatilia maisha ya mwanaume mwenzake mpige aisee!

Dozi ya 18

Mtoto wa kiume kulilia afanyiwe birthday kama dada zake hapana.Akililia mpige. Ukiona ameandika my birthday is loading mpe viboko!

Dozi ya 19

Ukiona mtoto wako wa kiume anaangalia tamthilia badala ya mpira, mieleka, mbio za magari na taarifa ya habari mpe makofi ya mgongoni.

Dozi ya 20

Ukiona mtoto wako wa kiume kitu kidogo anacheka mpaka anakaa chini mpe mabanzi. Lakini akiwa mtu wa kuzira na kususa mtandike pia. Mwambie mwanaume hasusi!

Dozi ya 21

Ukiona mwanao wa kiume anacheza muziki kwa kuzungusha mauno kama feni na kuinua vidole juu na ulimi nje mpe fimbo nyingi.

Dozi ya 22

Marufuku mtoto wa kiume kukaa geti kali. Mfundishe ubabe. Mwambie mwanaume halisi hashindi nyumbani, anashinda kazini. Mpe kazi za kufanya nje ya nyumbani!

Dozi ya 23

Ukisikia mtoto wako wa kiume analalamika kwamba watoto wa kike wanamuomba hela mtandike halafu mwambie mtoto wa kike lazima atunzwe😀😀.

Dozi ya 24

Ukiona mtoto wako wa kiume anawaomba hela wadada mtandike sana, ikiwezekana siku hiyo alale njaa.

Jaribu hizi dozi uone kama hujaisaidia jamii kwa kutuongezea wanaume wa nguvu. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
C&p
Nimesoma zote hamna sehemu nimeona ww mzazi umekaa chini na mwanao kuongea naye kwa uwazi kuhusu vitendo vichafu vya ulawiti na madhara yake, na namna gani ajiepushe navyo..!! Naona unatengeneza uoga kwa mtoto na kumpa msongo wa mawazo.

Na hakuna sehemu uliyomkataza kutojihusisha na watu asiowafahamu wala watoto wenzie wenye tabia hatarishi.

Na vipi kuhusu wageni wako hapo nyumbani nao umemuambia kuwa makini nao??
Hii karne tunayoishi sasa sio ile ya wazazi wetu, vitu vya hovyo lazima viwepo usiogope kuongea na kijana wako na kumuelewesha….

Mimi mama yangu kabla hata sijavunja ungo ilikuwa kila mara anatenga muda kuzungumza na mimi na kweli imenisaidia sana…!!!
Alifariki nikiwa naingia kidato cha kwanza lkn mpk nimekuja kumjua mwanaume ni baada ya kufika miaka 25 mpk mwanaume wangu alinishangaa na nilivyo kisu lk nimeweza kujitunza kwa muda wote huo.
 
Kila siku nasema tatizo kuu ktk Suala la ushoga hapa nchini, ni UNAFIKIIIII.
Kabisa watu ni wanafiki, sasa kila sehemu kumeharibika kuanzia nyumba za ibada, mitaani, majumbani na mashuleni kote kuna unyanyasaji wa kingono kwa mabinti na wavulana wadogo…!!! Wanataka kusema ni mtoto anamuingilia mtoto mwenzie?? Ni watu wazima wenye makengele yao ndio wanaowaharibu watoto, na baadae wanakuwa wakubwa ndio tunaowaona tunaanza kupiga makelele.!!!
 
Umemnipa kitu hapo
 
Nimesoma zote hamna sehemu nimeona ww mzazi umekaa chini na mwanao kuongea naye kwa uwazi kuhusu vitendo vichafu vya ulawiti na madhara yake, na namna gani ajiepushe navyo..!! Naona unatengeneza uoga kwa mtoto na kumpa msongo wa mawazo.

Na hakuna sehemu uliyomkataza kutojihusisha na watu asiowafahamu wala watoto wenzie wenye tabia hatarishi.

Na vipi kuhusu wageni wako hapo nyumbani nao umemuambia kuwa makini nao??
Hii karne tunayoishi sasa sio ile ya wazazi wetu, vitu vya hovyo lazima viwepo usiogope kuongea na kijana wako na kumuelewesha….

Mimi mama yangu kabla hata sijavunja ungo ilikuwa kila mara anatenga muda kuzungumza na mimi na kweli imenisaidia sana…!!!
Alifariki nikiwa naingia kidato cha kwanza lkn mpk nimekuja kumjua mwanaume ni baada ya kufika miaka 25 mpk mwanaume wangu alinishangaa na nilivyo kisu lk nimeweza kujitunza kwa muda wote huo.
Pole Mungu amlaze mama yako pema peponi..... Ila hongera Sana kwa kufatisha mafundisho ya mama yako, ww na marehemu mama yako ninmfano wa kuigwa kabisa , pia nasapoti uliposema wazazi wasiogope kuongea na mtoto, maana Ile methali ya "samaki mkunje angalia m bichi" hapo ndo mahali be pale pakutumika
 
IMG-20240409-WA0000.jpg
 
Amen 🙏
Mama yangu angeendelea kuwepo nahisi ningejengeka zaidi ya hapa nilivyo, nammiss sana’a ni shujaa wangu wa kila muda.

Wazazi wengi majumbani wanaogopa kuongea na watoto wao. Mtoto mchane ukweli usiogope, na watoto hata km mashuleni wanafundishwa lkn wanatamani kusikia zaidi kutoka kwa mzazi sababu yy ndio anamjua zaidi..!! Hii tabia ya wazazi kuogopa kusema ndio inamfanya mtoto aogope kumshirikisha mama,baba/ mlezi changamoto anazokumbana nazo.!!
Wazazi wanatakiwa wakubali dunia imebadilika, watenge muda wa kuzungumza na watoto zao.
 
Back
Top Bottom