Tunaotegemea kugombea ubunge 2025 njooni tuweke mikakati yetu hapa binafsi nagombea jimbo la Mbozi

Najua katika jukwaa hili wapo watanzania wenzetu wanaotarajia kugombea ubunge 2025.

Kugombea nafasi yeyote sio jambo baya bali ni jambo la kimaendeleo ambalo kila mtanzania anapaswa kulifahamu.

Kila mtanzania anahaki ya kugombea nafasi ya ubunge na nafasi zingine katika taifa letu.

Hivyo watanzania wenzangu wenye nia kama hiyo msiogope.

Mkiendelea kuogopa taifa letu haliwezi kupata maendeleo mnayoyataka.

Mkiogopa mambo hayawezi kuwa vile mnavyotaka.

Mabadiliko ya kweli yanatakiwa yaanze nawewe mwenyewe.

Hivyo nimeandika mada hii nikiwa mwenye nia thabiti ya kugombea ubunge jimbo la Mbozi.

Kama Kuna wengine pia wanaogombea naomba tukae hapa tujadili mikakati, changamoto na faida mbalimbali za kugombea ubunge.

Tujadili ni jinsi gani tunaweza kupambana na changamoto hizo na kwa kutumia mikakati ipi.

Lakini tusisahu faida tutakazo zipata mara baada ya kugombea.

Lakini pia ni changamoto zipi wanazopitia wabunge huko bungeni.
Sema tunaotarajia kushinda ubunge , binafsi sina mpinzani
 
Naomba kura zenu, na naomba ridhaa zenu ili k
kuwa mwakilishi ndani ya chama ili kupeperusha bendera za kugombe nafasi ya urais
 
Kutafuta weakness za mbunge wangu ni rahisi sana, shida ni namna ya kuwawin wajumbe na kuiconvince halmashauri kuu ya chama kuniamini mtu nisiye na experience ya siasa wala pesa na kupewa ridhaa ya kuperusha bendera ya chama.
Kwa ccm na chadema ningumu sana labda nijaribu vyama vidogo vidogo kama nccr na dp.
Mkuu ni sera zako ndugu yangu yaani uweze kujinadi utawafanyia nini wananchi. Wananchi wakikukubali chama kitakuchukua tu.
 
Kwa sasa nyie walafi wanaotaka ubunge bila kujari hatma ya Watanzania msitutoe kwenye reli tumeshauzoea ulafi wenu.
Mjadara wa sasa ni Tanzania inakuwaje nchi ya wanaowajibika, iwe watawala au watawaliwa!
Je miundombinu ya kuwajibika na kuwajibishana tunaiwekaje sawa kwa namna imeshakuwa collaterally damaged! namaanisha Katiba, sheria, kanuni na taratibu.
Je mnufaika wa mfumo mbovu inapokuwa ameshaamua kugomea hiyo rennaissence kistaarabu, nini kifanyike, kivipi!
tujifunze kwa wengine
Wayahudi dunian kote huwa wanachangishana kutetea hatma yao Israel.
Wahima dunian kote wali/huwa wanachangishana kutetea hatma yao.
Sasa kwa vile hatuna wanasiasa wanajeshi(determined real men), atengenezwe (kama uncle Thom P.R)
Ipite kampeni ya kukusanya nguvu ya hali na mali( kama wanavyofanya diaspora kusupport kidemokrasia lakin bila kujua wanampa kuku mganga ale tu),
Alafu tuongee lugha ambayo tutaelewana!(ultimatums).
Mpaka sasa nina imani na Mwabukusi tu katika njia hii ya ..*when squeezed to the wall....
hakika michango ipo( hali na mali) lakin hakuna mkusanyaji!
 
Back
Top Bottom