Tunaotaka mabadiliko Tanzania tufanye hivyo 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunaotaka mabadiliko Tanzania tufanye hivyo 2012

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by nickname, Nov 5, 2010.

 1. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Wapendwa wote watanzania tunaotaka mabadiliko ya nchi yetu tusiwe na wasiwasi.Tusahau ya kuibiwa kura na tujikite kujenga vyama vyetu vya upinzani kwani mwaka 2012 tutakuwa na uchaguzi mkuu mwingine wa Urais wa Tanzania.

  Rahisi wetu anasumbuliwa na ugonjwa wake wa kuanguka anguka na 2012 atanguka moja kwa moja kwa hiyo tutafanya uchaguzi
   
 2. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umejifunzia wapi UCHURO! Acha
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Taarifa hii umepata wapi? Sheihk YAHAYA kakutuma? Binafsi naona maisha ya mtu au better say UHAI WA MTU ni muhimu kuliko haya mengine....tusimuombee mabaya kiasi cha kifo!!! tumuombee ashindwe kupitisha hoja zenye maslahi fulani au kwa kundi fulani, mimi hayo ndo maombi yangu, haya yako naona yana kaukakasi
   
 4. R

  Rugemeleza Verified User

  #4
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 26, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Si kweli. Ibara ya 37(5) inasema:
  (5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na maradhi ya mwili au kushindwa kutekeleza kazi na shughuli za Rais, basi Makamu wa Rais ataapishwa na atakuwa Rais kwa muda uliobaki katika kipindi cha miaka mitano na kwa masharti yaliyoelezwa katika ibara ya 40, kisha baada ya kushauriana na chama cha siasa anachotoka Rais atapendekeza jina la mtu atakae kuwa Makamu wa Rais na uteuzi huo utathibitishwa na Bunge kwa kura zisizopungua asilimia hamsini ya Wabunge wote.
   
 5. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #5
  Nov 6, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Duh kama katiba inasema hivyo basi kifungu hiki kinaweza mpa tamaa Makamu wa Rais akam-assasin Rais ili awe yeye.Haijawahi kutokea lakini am worrying
   
Loading...