Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,078
Ila tayari namba zimevuka EBF
Bado
Ila tayari namba zimevuka EBF
Mi nasubiri maka plate number ianze ZZZ ndo nanunua gari

Namba E haina mvuto
Itabamba Sana hiiUmesahau na K yaani Kitimoto
Muhindi akitafuta ada za wanaeYani Ukiangalia History na Position za hizi timu ndo utaamini kubet ni UCHAWII...View attachment 2600666View attachment 2600667
Tuingoje Number F Ambayo Ipo Na UshawishiNamba E haina mvuto
Mambo yanaenda kasi sana 🤣🤣🤣🤣🤣Namba ED..Loading ndani ya mwezi hivi![]()



Wanasema namba E hazina mvutoVipi mliokuwa mnasubiri plate number E mmeshanunua magari au mnasubiri Tena F![]()
Vipi mliokuwa mnasubiri plate number E mmeshanunua magari au mnasubiri Tena F![]()
