Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

IMG_7841.jpg

Kelphin
 
😲😲Weee nitoe kwenye hio list ya watafunwa.Huyo Bujibuji Simba Nyamaume ana kubalika na wengi ni mtu mkarimu na ukipata bahat ya kujuana naye na kuwa rafik yke utafurah.So Mimi bujibuji ni rafik yngu na siyo vinginevyo.
Asante sana kwa kunipamba, maneno yako yamefanyika chachu moyoni mwangu kutenda wema na kuwa mkarimu zaidi. Mungu ametutaka tumpende yeye, na pia tuwapende wenzetu kama nafsi zetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom