Kwa nini mnasubiri mabaya yamkute mtu, why usimtakie heri?!Mda utaongea...
Mkuu mimi mwenyewe ni little boy nasubiri mda tu! sina experience...Kwa nini mnasubiri mabaya yamkute mtu, why usimtakie heri?!
Tatizo Mademu wa siku hizi wezi ,wasananii ,hapo usikute ana-ACT ili jamaa ajae "AMTOE UPEPO".View attachment 3700083
Moja kati ya maajabu ya ndoa nyingi ni wanandoa kuacha hizi kachumbari za mapenzi. Mwanamke anaacha kumdekea mumewe, anaacha kumuogesha, anaacha kumheshimu, anaacha kumnyenyekea, anaacha kuwa submissive. Aacha vitu vingi alivyovitoa wakati wa uchumba.
Vivyo hivyo kwa mwanaume, anaacha kumpa attention mke wake, anaacha jokes, anaacha romantic talks, inabaki mama Junior panua nikurenge.
Wale wachache wanapata hizi raha humu hatuzidi 20