Tunaomba ushauri: Miaka 37 ana Mchumba wa miaka 19

Hapa pia kuna mtu hajitambui. Ila kama ndugu wameshatimiza wajibu wao basi wamwache kaka wa watu. Ila waandae psycho-social package kwa huyo mwanamume.
 
Ni maamuzi yake
Mradi mmemuusia kama ndugu

The rest ni yeye na moyo wake....
 
Masikini roho yake muombeni hako katoto kapate division 5
 
Anajidai kadata na hashauriki mwacheni, aendelee kusubiri ila ataishia njian
 
sasa mambo ya kaka yako na mchumba wake yanakuhusu nini!!!?
 
Ngoje amalize chuo halafu amwache mzee wa watu yatima
 
Kwanza 37yrs kutoka na katoto ka 19yrs...mmmh.
 
Kama Jamaa anaona anaweza kusubiri, then mwacheni asubiri. Hamna haki ya kuingilia maamuzi yake.

Kwa maoni yangu huyo jamaa amefanywa kitega uchumi, baada ya hapo ni kibuti kwenda mbele.

Sijui kama ni shabiki wa ile tamthilia ya Isidingo, lakini kuna wakati msanii wao mmoja Rajesh (mtu mzima kidogo) alikuwa na uhusiano na binti wa miaka kama early 20s, mmoja wa rafiki zake akamuuliza 'unajua hata aina ya muziki anaopendelea?' Rajesh alipomuuliza yule binti akamtajia wanamuziki wa kizazi kipya ambao yeye hawajui.

Huu ni mfano tu lakini tafauti ya kiumri ikiwa kubwa basi hata zile interests zenu zinakuwa kama mbingu na ardhi.
 
Wana MMU,

Kwa niaba ya familia yetu, nimekuja kuomba ushauri wa kumahauri huyu ndugu yetu Kaka Mkubwa.
Kwa kifupi ni kaka yetu mkubwa ana miaka 37 bado hajaoa na wala hana mtoto, kiuchumi anajiweza kwa kiasi fulani.
Tatizo linakuja ana mchumba "mpenzi" wa miaka 19 na yupo kidato cha 5 na yeye ndio anasema chaguo lake ni hilo.
Kama familia tunaona hilo ni tatizo kwani Msichana alishamwambia asubiri mpaka amalize chuo kikuu ndio waanze mipango ya ndoa kisha kutengeneza Familia.
Kaka yetu kwa wazazi wa bint hajulikani "rasmi" ila bint kwetu familia inamfahamu. Tumejaribu kumshauri atafute bint ambaye yupo tayari kuanza maisha hata sasa kuliko kumsubiria huyu mwanafunzi amalize chuo ndio amuoe lakini imeshindikana yeye amesimamia msimamo wake ule ule anamsubiri bint amalize chuo.
Familia tunaona hilo ni tatizo hasa ukiangalia umri wake ni mkubwa ambao kwa mwingine angekuwa tayari ana familia anayoiendesha.
Wawo kupishana huo umri sisi hatuoni tatizo, tatizo tunaloliona ni kaka kupoteza muda wa kumsubiria bint, na mnajua wachumba wa siku hizi akishafika chuo tu.....kosa.
Bado tunaendelea kumshauri.
Nawe unamshauri nini?

acheni kumsisitiza kaka yenu aoe mwanamke mwingine wakati yeye yuko tayari kumsubiri huyo wa miaka 19,eti umri unaenda kwani yeye hajioni mpaka nyie mmwambie? kwani muoaji si yeye nyie kinawasumbua nini? embu jaribuni kuheshimu mawazo yake.
 
Isidingo bado ipo? Last time naangalia, Inspector Leon Duplesis na Kyle bado walikuwepo. Kyle was my fav.
 
Majembe ya utotoni kwenye familia uzeeni ni bomu. Hasa miinjinia iliyosomea bulgaria na urusi, utadhani misukule.Sisi tunalo moja.
 
Mugabe 91 years Mke wake ni 49years Kuna Variance ya 42 years binafsi huwa sion tofauti ya umri kama ni kigezo!

Jombaa kaka yao na wahanga anajiweza kiasi kimaisha na kimaslahi.....ila Mugabe anajiweza sana kwa kila kitu....kwanza nchi ni yake na hao wanaume wa kumchukulia mkewe wapo chini yake......bosi wangu yeye alimtia mimba demu wake kakaa mpaka kajifungua ndo kaenda chuo.....
 
Wewe na hiyo familia yenu wote viazi!
...yani ni bora akatafute msichana "aliye tayari" KUANZA MAISHA hata sasa?!!....hamjielewi nyie,chukueni taim!
 
Huyo kakayako ni Tasa dume, miaka yote hata dogo hana, hapo anaonba poo tu, na huo umri ukifika atasingizia mbegu zimekwisha muda wake
 
acheni kumsisitiza kaka yenu aoe mwanamke mwingine wakati yeye yuko tayari kumsubiri huyo wa miaka 19,eti umri unaenda kwani yeye hajioni mpaka nyie mmwambie? kwani muoaji si yeye nyie kinawasumbua nini? embu jaribuni kuheshimu mawazo yake.

si ndo apoo wangu, kinawahusu nini?
 
Wana MMU,

Kwa niaba ya familia yetu, nimekuja kuomba ushauri wa kumahauri huyu ndugu yetu Kaka Mkubwa.
Kwa kifupi ni kaka yetu mkubwa ana miaka 37 bado hajaoa na wala hana mtoto, kiuchumi anajiweza kwa kiasi fulani.
Tatizo linakuja ana mchumba "mpenzi" wa miaka 19 na yupo kidato cha 5 na yeye ndio anasema chaguo lake ni hilo.
Kama familia tunaona hilo ni tatizo kwani Msichana alishamwambia asubiri mpaka amalize chuo kikuu ndio waanze mipango ya ndoa kisha kutengeneza Familia.
Kaka yetu kwa wazazi wa bint hajulikani "rasmi" ila bint kwetu familia inamfahamu. Tumejaribu kumshauri atafute bint ambaye yupo tayari kuanza maisha hata sasa kuliko kumsubiria huyu mwanafunzi amalize chuo ndio amuoe lakini imeshindikana yeye amesimamia msimamo wake ule ule anamsubiri bint amalize chuo.
Familia tunaona hilo ni tatizo hasa ukiangalia umri wake ni mkubwa ambao kwa mwingine angekuwa tayari ana familia anayoiendesha.
Wawo kupishana huo umri sisi hatuoni tatizo, tatizo tunaloliona ni kaka kupoteza muda wa kumsubiria bint, na mnajua wachumba wa siku hizi akishafika chuo tu.....kosa.
Bado tunaendelea kumshauri.
Nawe unamshauri nini?

nahisi hiki kisa kitaishia kama kisa kimoja cha jibaba moja lililokuja kumlilia classmate wangu nikiwa mwaka wa pili baada ya kupigwa kibuti huku likiwa limesubiri ndoa kwa haka katoto kabichi kwa miaka kama 6 hivi....
 
Back
Top Bottom