nahisi hiki kisa kitaishia kama kisa kimoja cha jibaba moja lililokuja kumlilia classmate wangu nikiwa mwaka wa pili baada ya kupigwa kibuti huku likiwa limesubiri ndoa kwa haka katoto kabichi kwa miaka kama 6 hivi....
hahahaaa umeuaHuyo anatafuta majanga, kama ni mhehe aandae kamba
Jombaa kaka yao na wahanga anajiweza kiasi kimaisha na kimaslahi.....ila Mugabe anajiweza sana kwa kila kitu....kwanza nchi ni yake na hao wanaume wa kumchukulia mkewe wapo chini yake......bosi wangu yeye alimtia mimba demu wake kakaa mpaka kajifungua ndo kaenda chuo.....