Na hao ndio wengi wamejaa vitengo vizuri mfano TRA,BoT,Fani zinazokuacha na ujuzi unaoeleweka ni rahisi kujiajiri kuliko hizi fani zinazokufanya utegemee kuajiriwa, mfano: accounts, procurement, sociology, business administration, economics, statistics, taxation n.k
Ni kweli ila wakipoteza kazi huwa wanapoteza mwelekeoNa hao ndio wengi wamejaa vitengo vizuri mfano TRA,BoT,
Oya waungwana tupeane possible basi tusome nn
DuhPole na mtihani. Ulikuaje?
Dah sema utatoboa tu, si ulikua na confidence??Oral ilikuwa rahisi lakini mimi nilizembea!
Confidence nilikuwa nayo na nilikuwa naongea kwa sauti kubwaa.Dah sema utatoboa tu, si ulikua na confidence??
Tupe maswali ya oral mkuu tuone kma vijana watafanikiwaSo maswali ndo baadhi yamekushinda hapo
Tra ina wenyewe kama ilivyo ccm ina wenyewe.Customs officer nafasi si zilikuwa 7 mbona nimeona wameita kazini 8?
jiongeze kufikiria,nafasi mda wowote zinaweza kutokea itakua kuna nafasi imeongezekaCustoms officer nafasi si zilikuwa 7 mbona nimeona wameita kazini 8?
Kila mtu na siri yake,rafiki yako hawezi kukueleza kila kila kitu, siri anayo yeye mwenyeweHamna cha upendeleo wala nini! Kuna mshikaji nimesoma nae tumemaliza wote, wakati tunaelekea interview Dar tulipanda bus moja, jana katangazwa kweny page za kuitwa kazini...na sio kwamba anahela au ana watu wanao mjua huko utumishi...mtu wa kawaida...juhudi zako tu ndio zitakufikisha unapotaka kuwa.
Kila mtu na siri yake,rafiki yako hawezi kukueleza kila kila kitu, siri anayo yeye mwenyewe
Dah pole sana,Interview yangu ya Tatu oral pale utumishi na zote sitoboi. Na sio kua nashindwa kujibu najibu vyema kabisa naamini. Duh ya Mungu Mengi.
Dah pole sana,
Wewe unahisi kama kuna 'mchezo' unafanyika ?
Mimi interview zote huwa siziamini,huwa nafanya tu interview hiyo basi tuHapana siwezi hukumu, kwa kutokupata mimi niseme kuna mchezo wowote Hapana.
Nachoshindwa kuelewa wanaangalia vitu gani na accuracy ya hiyo kunzi data kupata watu kwa ajili ya kazi.