Tunaomba update za interview TRA

umeshakosa tayari mkuu,methods ndio zinazotumika mkuu kuvalue goods,hii nayo ni taaluma ,soma hapo utaelewa
 
Aaah mkuu wewe tusubiri majibu bana hizo ni method swali halikutaka methord bana nabisha
mkuu kwaio ulitaka kabisa wakuandikie uandike methods doo vitu vingine vya kujiongeza alaf wao wanapouliza swali wanarefer kwenye taaluma ya customs na si vinginevyo.
 
mkuu kwaio ulitaka kabisa wakuandikie uandike methods doo vitu vingine vya kujiongeza alaf wao wanapouliza swali wanarefer kwenye taaluma ya customs na si vinginevyo.

Sasa mkuu hata mimi hizo point nilizoandika bado zipo ndani ya hizo main point kimaelezo ukizisoma
 
We ukisikia HOW unadhani wanahitaji nn?
 
Sasa mkuu hata mimi hizo point nilizoandika bado zipo ndani ya hizo main point kimaelezo ukizisoma
Hizo sio point mdogo wangu. Kama swali lilikuwa kama nilivyoambiwa basi madogo wamejibu sahihi zile methods sita.
 
Swali la tatu lilikuwa na maelezo haya kama sijakosea"The customs departments plays a major role in collecting government tax revenues.The taxes come from taxing imported and exported goods.You as a customs officer,how will you help the customs depatment in revenue collection?". And l said the duties of customs officer can answer this question. Kwa nini swali hili hawakuuliza inshort duties za customs officer?, understanding the FOCAL POINT of the question is another examination. Tusitegemee kuulizwa inshort methods of valuation of imported goods, duties of customs officer etc.Maswali yanakuja kwa mitego na kupima uelewa wa mtahiniwa. Unaweza ukawa umesoma vizuri sana zile aina za one stop border post(OSBP) na kuzielewa, swali likaja la maelezo meeengi na linahitaji aina hizihizi za OSBP, ukashindwa kuelewa swali na ukaanza kutaja vitu vingine. Unatoka kwenye pepa unakuta ni zile OSBP unazozijui afu haujajibu hizo. Utakuwa unafyonya kuanzia geti la duce mpaka unakoenda kama ni kigoma au mwanza na unaweza ukajikuta umepanda gali linaloenda mbagala ukajua unaenda ubungo.So kujua swali linataka nini ni muhimu sana jamani.Nimemiss tu maswali ya history form three and four,maswali mengi majibu yake yalikuwa "land elianation", "forced labour" hadi raha.
 
Yanatoka kati ya leo au kesho kuweni wapole...ila watu mmeharibu kinoma...sijui vijana wa siku hizi kichwani kuna nini!
 
Yanatoka kati ya leo au kesho kuweni wapole...ila watu mmeharibu kinoma...sijui vijana wa siku hizi kichwani kuna nini!

Ahahahahahahhahahhhahahah mkuu watu vichwani ni mademu na washikaji tu basi
 
Customs officer II hiyo jamani nilijibu jibu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…