Tafiti zisizo rasmi zinaonyesha kuwa rushwa ya ngono imetamalaki maofisini, wanawake wanadhalilishwa kingono, ndoa za watu zinavunjika. Mapenzi kazini yanaathiri kwa kiasi kikubwa ufanisi kazini.
Rushwa ya ngono ni kama vile imehalalishwa. Naamini Rushwa hii ya Ngono ni utovu mkubwa wa maadili hivyo inapaswa ifuatiliwe na hatua kali zichukuliwe kwa wahusika.