Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,906
2017 TUNAOMBA SERIKALI ISIMAMIE YAFUATAYO:
1.mimba zipunguzwe miez badala ya 9 ziwe miezi 4.
2.Nauli ya ndege kwenda South Afrika iwe bure coz ni mteremko,
3.Sukumawiki ichunguzwe kwa nini haiwezi sukuma mwezi au mwaka,
4.siku za mwizi ziwe walau 90 sababu uchumi umekua mgumu,
5.Viroba vishushwe bei, viuzwe mia2.
6.Chumvi iuzwe bei ya sukari na sukari bei ya chumvi,
7. Pombe ijazwe chupa!!!..Hii tabia ya kuacha nafasi kidogo ni kutuibia...
8.Donati zisiwe na shimo katikati..la kazi gani?
9.Vocha ya buku iuzwe mia tisa tupate mia za kukwangulia!
10. 2jenge vibanda vya chps bata, tumechoka kuku
11............
12...........
Akili yangu Naijuwa Mwenyewe