Maoni yangu: Ningeomba mamlaka husika mwaka 2017 wabadilishe hizi sheria!!

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,797
Nimekaa nikafikiria mwaka ujao kama uwezekano hizi sheria zibadilishe!

Siku za mwizi ziwe angalau siku 70 maana hali ya kipato na uchumi imekuwa ngumu mno.

Vinywaji viwe vinajazwa hadi juu kwani kile kipande wanachoacha kujazia wanatuibia na Njiti za viberiti waweke baruti kotekote au upande mmoja baruti ana mwingine wachonge angalau tuthpick ili tusipate hasara sisi watumiaji!

Nauli ya south africa washushe kidogo au tuende bure maana ni mteremko tuu! Na bei ya sukari iuzwe bei chumvi na bei ya chumvi iuzwe bei ya sukari na na donati lile shimo pale katikati hamna haja ya kuliweka maana halina kazi!!

Vipi maoni yenu mnasemaje!!
 
ikiwezekana vitu viuzwe kulingana na uzito wake.... na mahari iwe ivyo ivyo...

mfalme jua: sijui nitakipata wapi tena hichi kitabu.
 
Back
Top Bottom