Tunaokula kwa wapemba pale mabibo hostel. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunaokula kwa wapemba pale mabibo hostel.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Skype, May 7, 2012.

 1. S

  Skype JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Jamani habari zenu? Kwa muda mrefu nimekua nikila chakula maeneo ya cafeteria iliyoko ndani ya mabibo hostel. Lakini niliamua kuacha kabisa kula cafeteria baada ya siku moja kuona paka wakilambalamba sahani za chakula mezani.

  Baada ya hapo nikahamia nje pale kwa wapemba. Kinachonipa shida ni kwamba nikila hapo kwa wapemba tumbo hua linajaa gesi kwa muda mrefu. Ndipo siku moja nikaambiwa na mtu mmoja kua kuna uwezekano hawa jamaa hua wanatia hamira ktk chakula.

  Sasa kama hali ndo hii mimi nawashauri wananchi wenzangu tuwakemee hawa jamaa waache kutuwekea hamira kwenye chakula wanatuumiza kiafya.

  Kwa sasa natafuta sehemu nyingine ya kula ila tatizo mitaa ya huku mabibo hostel hakuna mkahawa wenye kujali afya za walaji japo kwa kiwango cha mamantilie, yaani uchafu, vyakula ni kama unakula mataputapu, kauli zao mbovu, nk.

  Kwa hiyo nawaombeni sana wateja tunaojazana kwa wapemba kila siku tujali afya zetu kwa kushirikiana kuwakemea.
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  mshalishwa hamira nyie.

  Ila nina allergy na kula kwa wapemba na wasomali mmmh
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  simpo.
  Kuwa unapika chakula chako mwenyewe, no problem.
  Bai ze wei mi nala pale kila uchao.
   
 4. S

  Skype JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  asante kwa ushauri.
   
 5. S

  Skype JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  We acha tu ndugu yangu sasa ntakula wapi? Cafeteria kwenyewe ndo hivyo mipaka inalambalamba sahani za chakula halafu nami sipatani na paka kabisa. Nikimwona kama nakula natapika yaani nina aleji na paka. Wapemba nao hamira, aghrr!
   
Loading...