thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,256
- 9,085
,100% you are correct!Huenda siku ambayo Tanzania mtaacha kuhangaika, kumshambulia na kumchukia Rais wa Rwanda Paul Kagame ndiyo ikawa mwanzo wenu mzuri wa kuanza kuwa na Maendeleo yenu hasa ya Kiuchumi na Kijamii. Kinachonisikitisha huyo Rais Kagame mnayehangaika nae Yeye nchi yake kila siku inapiga hatua na si ajabu hata muda si mrefu ikaja kuipita Tanzania lakini Tanzania bado inapiga tu ' mark time ' Kimaendeleo huku mkiwa mmewekeza katika Majungu, Chuki, Unafiki, Husuda, Uswahili na Fitna.
Badilikeni bado hamjachelewa!