Changamoto ya foleni toka Mbagala Rangi 3 hadi Kongowe-Dsm

jT0078

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
275
246
Habari wadau!

Mimi ni mkazi wa kisemvule iliyopo mkoa wa Pwani.

Tuna changamoto ya Foleni kuanzia mbagara rangi 3 hadi kongowe, hii inatokana na ufinyu wa bararaba (nyembamba) kuanzia kokoto hadi kongowe.

Barabara ya mwendokasi imeishia hapo kokoto, ila kuendelea huko mbele ni single road ambayo kutokana na wingi wa magari hasa maroli yanayopeleka mizigo mikoa ya kusini imechangia ufinyu wa barabara hiyo.

Pia kuna mtelemko kuanzia hapo kokoto hadi Mzinga, ikitokea gari moja imezima au ikitokea ajali basi uwezekano wa kukaa ktk foleni hadi masaa 4 ni mkubwa sana.

Nazani hii barabara ipo chini ya Tanroad, sijajua wanampango gani wa kuipanua ziwe 4way kama ya mbezi.

Tumechoka na hiyo foleni. Kama kuna namna ya kufanya basi tunaomba watendaji mlifanyie kazi.

Ally Abbasy Sarai.
0692911361.
 
Kale kamlima unakuta Scania imezima. Aisee foreni inaunga tokea Zinga hadi Roundabout huku.
 
Upembuzi yakinifu unafanyika ili kuendeleza barabara husika iwe ya mwendokasi
 
Hilo Tatizo lilinikwamisha siku moja Wahusika Hawaoni Adha hii maana hiyo ndo Barabar Kuu kwa upande wa Kusini Nadhani .
 
Lile agizo alilotoa Mama Samia kuwa kuanzia Kokoto mpaka kongowe kujengewe njia mpya kwa umbali wa 5km na Mwendokasi iende mpaka Kongowe liliishia wapi?

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Habari wadau!

Mimi ni mkazi wa kisemvule iliyopo mkoa wa Pwani.

Tuna changamoto ya Foleni kuanzia mbagara rangi 3 hadi kongowe, hii inatokana na ufinyu wa bararaba (nyembamba) kuanzia kokoto hadi kongowe.

Barabara ya mwendokasi imeishia hapo kokoto, ila kuendelea huko mbele ni single road ambayo kutokana na wingi wa magari hasa maroli yanayopeleka mizigo mikoa ya kusini imechangia ufinyu wa barabara hiyo.

Pia kuna mtelemko kuanzia hapo kokoto hadi Mzinga, ikitokea gari moja imezima au ikitokea ajali basi uwezekano wa kukaa ktk foleni hadi masaa 4 ni mkubwa sana.

Nazani hii barabara ipo chini ya Tanroad, sijajua wanampango gani wa kuipanua ziwe 4way kama ya mbezi.

Tumechoka na hiyo foleni. Kama kuna namna ya kufanya basi tunaomba watendaji mlifanyie kazi.

Ally Abbasy Sarai.
0692911361.

Nilishangaa sana uboreshaji wa bandari kuwahisha huduma za mizigo kutoka haraka, wakati yatapitia morogoro road, tumelogwa.
 
Pia kuna mtelemko kuanzia hapo kokoto hadi Mzinga, ikitokea gari moja imezima au ikitokea ajali basi uwezekano wa kukaa ktk foleni hadi masaa 4 ni mkubwa sana:

Kuna kibalabara cha vumbi kushoto kama unapandisha. Tumieni hicho.

Kabla haijapanuliwa,mnaweza kuhamia Mbagala haina shida
 
Huo ukanda huo maisha ni magumu sana sio foleni tuu, kuna kila aina ya changamoto
 
Back
Top Bottom