LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,496
- 3,389
Nimefanikiwa kupita Mlandizi ila ni baada ya jitihada za kutanulia mashambani mwa watu. Tupo kama 3k kutoka Ruvu nako tumekwama kwa zaidi ya dk 20 now
Hiyo mbege mwaka huu mtakunywa ngera tu! Haya, safirini salama. Umang'atini hadi helicopter, ntaenda siku nimekuwa rais wa nji hii!
Arusha lazima nifike na nitakuwa na Lema. Hapa tupo kimapumziko zaidi.tunaondoa na kusahau kabisa itikadi zetu kwa kipindi hikiWe mtumwa wa mafisadi! Ukifika Moshi Kilimanjaro usiache kuja mpk Arusha tuje tukung'atue ktk jinamizi la utumwa kwa mafisadi inayokusumbua. Safari Njema!
Inamaana wachaga wote wote ni CD.? Nilikuwa silijui hili! Nipo tu kimapumziko huku.unaharibu sifa za kina mangi aisee. Kumbe we wa kule?
Kwenda MS na Arusha kipindi hiki si lazima uwe mtu wa huku. Mapumziko muhimu sana, huku ndipo penye maene ambayo unapumzika kikweli!!Kumbe ww mangi meza duhhh ndo maana..
Duh! haa wazungu nao wanajutia kutozaliwa kanda ya kaskazini Sababu Meno yao hayajaoza kama ya RejaoKimekuuma ee?? Pole..yaelekea unajutia sana kutozaliwa kanda ya kaskazini
aahaa! kule kwa kwa bwa.na.ko!!!Pole na safari Rejao, mimi mwaka mpya nakwenda zangu kupumzika Seychelles..
Kwa hili wanastahili pongezi!!!
Thanx kwa kuliona hili mkuu
Nipo salama husninyo. Nipo na wazee tu huku tunaongelea mambo ya maendeleo. Huku ni mwendo wa mizinga tu. Kila ukigeuka unaambiwa hili, ukienda huku unaambiwa hili. Mpaka nirudi DSM lazima nitakuwa na Overdraft kubwa sana.umefika salama? Sikukuu niaje?
lazima uhame chama wewe unajichimbia dsm huku unamshabikia JKNipo salama husninyo. Nipo na wazee tu huku tunaongelea mambo ya maendeleo. Huku ni mwendo wa mizinga tu. Kila ukigeuka unaambiwa hili, ukienda huku unaambiwa hili. Mpaka nirudi DSM lazima nitakuwa na Overdraft kubwa sana.
Hiki chama siwezi kukihama kamwe. Ni chama pekee kisicho na ubaguzi wa kidini wala kabila. Ni chama pekee ambacho kila mwanachama anawaza chama kwanza na siyo individual benefits kama vilivyo vyama vingine hapa TZ.lazima uhame chama wewe unajichimbia dsm huku unamshabikia JK
aahaa! kule kwa kwa bwa.na.ko!!!
Nipo salama husninyo. Nipo na wazee tu huku tunaongelea mambo ya maendeleo. Huku ni mwendo wa mizinga tu. Kila ukigeuka unaambiwa hili, ukienda huku unaambiwa hili. Mpaka nirudi DSM lazima nitakuwa na Overdraft kubwa sana.