Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 1,334
- 2,302
Sabuni zimepandishwa bei?Rasmi leo naanza hii challenge, dua zenu wakuu. Wanaotaka kwenda pamoja nami tuungane hapa
No sex,
No masturbation,
No porn.
Here we go.
Picha haihusiani na uzi
ndoto nyevu ni automatic haziathiri chochote mkuuKibuyu kikijaa sana zile ndoto pevu hazisabishi zoezi kubaribika?
Hahah tumeanza mei mosi mkuu ili iwe kama alama ya kuanziaTuanze jumatatu huoni weekend
Karibu mkuu, hakika tutaweza ni maamuzi tuBasi acha tuianze safari hii pamoja
Asante, vipi wewe hatusafiri pamoja?Kila la kheri mkuu
Zimechosha nataka, kujirestartSabuni zimepandishwa bei?
Karibu pia
SawA
Hapo nimekupata kiongozi... Na vipi faida zake ni zipi?ndoto nyevu ni automatic haziathiri chochote mkuu
Naona umemuweka mkali hapo pichani.Rasmi leo naanza hii challenge, dua zenu wakuu. Wanaotaka kwenda pamoja nami tuungane hapa
No sex,
No masturbation,
No porn.
Here we go.
Picha haihusiani na uzi