Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,956
huyu ponda wamemdekeza saana inatakiwa wampe moja nzito ya kichwa
"Mtu mweusi na roho yake nyeusi" isipokua wachache tu wenye imani,,,alietamka hili neno hakukosea.
huyu ponda wamemdekeza saana inatakiwa wampe moja nzito ya kichwa
View attachment Nash Mc-Maalim Ponda.mp3"Mtu mweusi na roho yake nyeusi" isipokua wachache tu wenye imani,,,alietamka hili neno hakukosea.
Kwa bahati nzuri wewe utaishi zaidi ya miaka miamnili,mpumbavu kabisaaa .Haujitambui unafikiri ukiua kwako ndoo unapata faida ya kuishi duniani peke yako .Huyo ingekuwa Enzi zangu mimi POLICE na mpiga moja BOMU ya kichwa kwa bahati mbaya apotee kawa kero sana
Huyo ingekuwa Enzi zangu mimi POLICE na mpiga moja BOMU ya kichwa kwa bahati mbaya apotee kawa kero sana
Kwa bahati nzuri wewe utaishi zaidi ya miaka miamnili,mpumbavu kabisaaa .Haujitambui unafikiri ukiua kwako ndoo unapata faida ya kuishi duniani peke yako .
Waislamu huwa hawawasahau ndugu zaoNakumbuka hukumu yake ilikuwa na sharti la yeye kutokutenda au kurudia kosa la kwanza.
Lakini naona karudia yale yale, na sasa atasota mahabusu kama wenzake wa uhamsho.
Nchi hii dhamana inatolewa kutegemea kaamkaje siku hiyo.
Mtalaani sana, mwisho mtamsahau pia.
Wameshawasahau uamsho.Waislamu huwa hawawasahau ndugu zao
Tuna kampeni kuhusu wao na wengine wote ingia hizb.or.tz au hizb ut Tahrir Tanzania ktk mitandao ya kijamii utajionea kampeni inayoendeleaWameshawasahau uamsho.
Tunalaani suala la kuwekwa ndani Sheikh Ponda eti kwa waraka. Hii imekuwa ni kawaida kwa viongozi wa Kiislamu huku viongozi wa dini nyingine wakisema watakavyo hata kushawishi maandamano. Huu ni uonevu wa hali ya juu wa vyimbo vya dola kwa Waislamu
#KomeshaUkandamizajiWaKiaheriaNaUtekaji
#FreeSheikhPonda
hizb.or.tz
Viongozi wa dini wengine kwenye nyaraka zao kamwe hawakumtuhumu kwamba anachagua waluteri kuliko wakatoliki au walokole ... kwanini Ponda? ana agenda gani Ponda ... matokeo ya harakati zake ni nini ? Sasa anatuhumu kwa kuchagua wakristo baadae atashutumu kwa kuchagua waislamu wa bakwata ...Sheikh ponda hana nia nzuri niamini ni kikuambia walokole hawakubaliani na wakatoliki hata kidogo lakini huwezi kuwakuta wanatoa waraka eti hii nchi haijawahi kua na mlokole kama Rais... kwanini Ponda Issa Ponda
Hayo ni maneno ya muovu asiyetaka kusikia ukweliTatizo elimu. Ni ya madrasa tu!!!
Tusaidie Kupaza sauti na Allah atakulipaPanda juu, uloge.
Halafu wewe ungefaidika na nini !?Huyo ingekuwa Enzi zangu mimi POLICE na mpiga moja BOMU ya kichwa kwa bahati mbaya apotee kawa kero sana
Tatizo elimu isiyo ya madrasa imezalisha watu waovu, makatili, wauajiTatizo elimu. Ni ya madrasa tu!!!
Amekamatwa kwa kosa ganiTunalaani suala la kuwekwa ndani Sheikh Ponda eti kwa waraka. Hii imekuwa ni kawaida kwa viongozi wa Kiislamu huku viongozi wa dini nyingine wakisema watakavyo hata kushawishi maandamano. Huu ni uonevu wa hali ya juu wa vyimbo vya dola kwa Waislamu
#KomeshaUkandamizajiWaKiaheriaNaUtekaji
#FreeSheikhPonda
hizb.or.tz
Tatizo elimu isiyo ya madrasa imezalisha watu waovu, makatili, wauaji
Afwan nduguMalizia na "wasio na imani" icpokua wachache tu.
TunakemeaWavaa kobazi bhana .kwaio na nyie mna toa laana