Nyaubikra
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 1,733
- 4,220
Ushauri upo wazi Mana angekuwa ajapata mfano wa wazee wa uamsho Basi tungetumia nguvu kubwa Ila ajue kuwa bado anahitajika katika kujenga Imani ya vijana wetu na Hata wa badae
Pia Mimi Kama mkristo nafatilia mawaidha ya mashekh wakubwa namna wanavyo hutubia watu ni vzuri mno kusikiliza so Kama kutafuta haki Basi kufanyike kwa namna ambayo haileti mikwaruzo na serikali ambayo itamtia hatian Kama hivi
Ushauri na maombi katika kutafuta haki haitaleta madhara makubwa ya kuondoa viongozi wa Imani wetu