Tunakumbushana tu

Asemacho mtu ni matokeo ya anachokiamini hata kama ni kinyume cha uhalisia. Akikuita wewe ni mwizi, ni kwa sababu anaamini wewe ni mwizi hata kama kiuhalisia wewe si mwizi wala hujawahi hata kulamba sukari kiwiziwizi.
 
🀣🀣🀣🀣 Sikuzote huwa wanamaanisha mkuu
 
Ushayakanyaga huko...πŸ˜‚ Umelikirofisha lijamaa limekulewea limekuambia halikutaki..🀣
 
Asante kwa kunikumbusha, mi huwa anayeropoka baada ya kukasirika na mlevi nazingatia Sana wanachokisema.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…