Tunakumbushana tu

Tunakumbushana tu

  • Thread starter Thread starter Deleted member 485868
  • Start date Start date
D

Deleted member 485868

Guest
Nyoka hata umpe dumu la maziwa atabaki kua na sumu tu,ndivyo alivyo mwanaume asietambua wala kujali THAMANI ya mwanamke...huyo hata umpe bikra bado atatafuta mwenye RAMBO kama sio fuko la Nazi

Wanawake niwaambie kujitambua ni kitu muhimu sana..maana wengi mmejisahau na kua WATUMWA kwa hao wanaume wasiokua na shukrani kwenu..unaanzaje kumpa moyo wako asiejua THAMANI yako..huo ni UGANUKI wa kiwango cha juu sana

MWANAMKE wewe ni wa thamani sana..JIPENDE...JITHAMINi..bila kusahau kumshirikisha MUNGU kwa kila jambo

Ni hayo tu..Niwatakie mchana mwema.
 
Asante kwa kuwakumbusha hao wanawake wasojitambua.

Nawajue kua ,, kutoa miili yao kamwe haiwezi kua rehani ya mtu kukupenda kwa dhati .

Mwanamke kikubwa niajue maana yaahusiano na avae viatu vyawenzake pale atakapokua mwongo. Mzushi. Tapeli. Mwingi wahahabari. Msaliti n.k n.k , ukishapima ukajua kua yanaumiza ,sasa nayeye anapaswa kujiuliza ,kama niyeye kafanyiwa hayo atajisikiaje ?? .

Shida moja,ilopo ni watu wengi sasa ni mapretender balaa. Anavyoongea unaweza hisi ni anaongea kwa ukweli wamoyon, kumbe sasa ??? .

Nawakumbuke kua, Sex sio suala pekee namuhim ktk mahusiano, mimi binafsi nataka sana HESHIMA.
 
Umeongea vizuri sana

Hakuna jambo jema katika mahusiano kama KUHESHIMIANA...tenda utendewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom