Kama kuna Codes basi nimekwama mkuu, kindly assist..😀😀 nimeona baba kakumbatia watoto tuuHujaelewa kilichomaanishwa fungua codes aisee...!
🤣🤣🤣🤣
Tena fundi kweli kweli mkuu.
katulia kama ananyolewa vileeeHii limbwata ni first class aiseee, hadi watoto wanashangaa 😂😂😂😂😂😂