Tunakubaliana na hili

Hilo ndilo penzi la kweli, hapo inawezekana kabisa huyo baba miguu inamuuma, ruksa mke kumbeba mumewe. Hata huku kwetu Tanga mume kupelekwa bafuni kuoga tena choo kipo "half mile" ruksa....
 
utafiti, Mndengereko, Tized, Ntuzu na Excel hebu toeni maoni yenu

Mkuu Mr Rocky Hiyo sio sawa kabisa! Tena Km kuna vita Km hivyo ktk jamii yetu basi tuwe mstari Wa mbele kabisa kuwataja na kuvikemea!

Haiwezekani ata kidogo! Haiwezekani! Nimekataa! Ni unyanyasaji Wa Hali ya juu sn! Na hakuna Hiyo True Love Bali Ni utumwa mambo sasa uliokithili!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu utafiti mammbo poa kabisa . Mkuu Ntuzu hapo naungana na utafiti kusema kabisa huo ni unyanyasaji tena wa hali ya juu ambao haupaswi kuwepo na wafaa kukemewa
hakuna true love hapo ila ni kunyanyasika kwa mwanamke na ingekuwa vyema hata kama anaumwa akasaidiwa sawa ila sio katika hali kama hiyo abebe mzigo na mtoto na mume tena hapo hapana grafani11 sawa mapenzi ya tanga twayajua ila sio katika hali kama hiyo hapo juu
Mwambie mwanamke wa kitanga abebe mzigo na mtoto na akubebe na wewe mume uone kama atakubali
 
Last edited by a moderator:


watu8 na Yes Yes Yo nakubaliana nanyie kuna maelezo mengi ambayo yamo kwenye hiyo picha
Kuna ugongwa sawa nakubaliana nadhana kuwa mwanaume anaweza kuwa mgonjwa na akabebwa kusaidiwa kufika nyumbani na au mlemavu pia dhana nayo inaendana na hiyo ya ugonjwa nakuna ile nyingine kuwa ni umwinyi kama alivyosema Yes Yes Yo au shurti kama alivyosema watu8

Dhana ya mtu anayeiona picha kwa mara ya kwanza ni umwinyi na shurti kuwa mwanamke ni mtu wa kutumika na kuteseka licha ya kuwa amebeba mzigo na mume pia ni wake na anatakiwa kumpenda na kumfanyia chochote anachotaka ikiwemo hiyo ya kuwa anambeba wakati anapohitaji. Dhana nzima haireflect true love ila inareflect unyanyasaji tuu
Excel sawa kabisa bana
 
Last edited by a moderator:
Yes Tized assume he is sick ila hayo maelezo ya true love ni wrong kabisa
 
Last edited by a moderator:
Mambo vipi mkuu Rocky?
 
Mkuu nipo sana tu, wewe ndiyo hupitii mtaa wa kule chini. Heaven on earth anajua


Ule mtaa nauogopa sana aise una vitu vya hatari na vyenye ncha kali na vyenye uwezo wa kutoa kucha na meno bila ganzi so huwa sipiti kabisa
 
Ule mtaa nauogopa sana aise una vitu vya hatari na vyenye ncha kali na vyenye uwezo wa kutoa kucha na meno bila ganzi so huwa sipiti kabisa
Komandoo kama wewe unaogopa sisimizi? Hahahahahahaaaaaaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…