Molembe,iko hivi,mwanamke ukimuoa anakuja na picha yake kichwani kwamba ataishi hivi,hela ya chakula utamuachia kwa siku 20000 kwa siku,mwisho wa mwezi utampa 100000 za kufanya matumizi yake kila mwezi,na hii yote ni kwa sababu amekukuta pale una nyumba yako ya kawaida 4 rooms,na kigari chako.hajui ulikopa sana mikopo kazini ndo ukavipata hivyo.sasa leo kaingia anajua ataishi maisha ya kifahari kumbe maisha ni yaleyele tu,leo dagaa,kesho maharagwe na keshokutwa mchanganyiko wa utumbo na mchicha.sasa anapoona maisha sio kama yale aliyoyategemea ndipo anapoona amekosea,analianzisha ili muachane akajaribu kwingine,